Orodha nyingine ya wanaotakiwa kufanya marekebisho bodi ya mikopo kutolewa kwenye website

Orodha nyingine ya wanaotakiwa kufanya marekebisho bodi ya mikopo kutolewa kwenye website

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo kuna zaidi ya wanafunzi 600 ambao walistahili kupata mkopo ambao hata hivyo wanatakiwa kufanya marekebisho kwenye form zao za mambi ndani ya siku 14 kabla ya kupatiwa mikopo yao.Majina ya wanafunzi hao yatatolewa kwenye site ya bodi.

Swali walikuwa wapi siku zote kuona kasoro hizo na badala yake wanaibuka leo?Au hii ndio mbinu ya kuwatosa?
 
Ndugu hawa jamaa wanavyoendesha mambo yao wanajua wenyewe maana me hata nashindwa waelewa kila kitu vikwazo viiingiiiii ili hali tu watu wasipewe mikopo alafu wao ndio furaha yao inapatikana wajue kuwa aliwapa wao nafasi ya kuwapo hapo walipo ndio haliowanyima wale waliokosa nafasi ya kuwapo hapo pia sasa saa, siku, muda na mwisho huko njiani kufikia
 
Inamana hayo itakua orodha mpya c sawa na zle za mwanzo? Wanataka njia ya ku2nyma pesa zao 2
 
Inamana hyo itakua orodha mpya c sawa na zle za mwanzo? Wanataka njia ya ku2nyma pesa zao 2
 
Back
Top Bottom