Orodha Rasmi ya Watu wanaokaa Mtandaoni Muda mwingi

Tafadhari lind aheshima heshima yako futa maneno yako yote mabaya yenye mlengo hasi na jamiiforum, kwani ukiwafahamu watu kwa a.k.a zao hapa jf zinahusu wao au jf yenyewe, ebu tafakari sana, kwenye hio namba 10 kuna namna umekwaza hili jukwaa take note.
 
hao no 3 wakowapi mkuu?

mbona hujawaweka wanasiasa km @Biayetu

halafu malaya umewaonea mida hii wao wanakoromaga kwaajili ya mikesha ya usiku

Bia yetu hao ni wasomi wasio na Ajira ambao wanajikomba Kwa wanasiasa
 
Maisha yako wewe unayaona mazuri ndo maana unawaambia wenzio ambao hawana kazi ni wanaharakati wa kupinga serikali ili kutoa madukuduku yao na sumu kutokana na maisha wanayopitia
 
Maisha yako wewe unayaona mazuri ndo maana unawaambia wenzio ambao hawana kazi ni wanaharakati wa kupinga serikali ili kutoa madukuduku yao na sumu kutokana na maisha wanayopitia

Maisha mazuri hutokana na kuridhika sio kiwango cha unachopata
 
Kundi hili limesahaulika: Wasiojulikana
 
Maisha mazuri hutokana na kuridhika sio kiwango cha unachopata
Kwa hiyo wewe umeridhika na maisha uliyonayo iko sawa.Basi waache wenzio wafanye yao sio kuwaambia wanavibarua mshenzi.
Basi Kama ni hivyo Tanzania hii kila mtu anafanya kibarua mshenzi maanake mishahara iko vile vile kila siku haipandi
 
Mimi sijamkataza mtu, wala sijamgusa yeyote.

Hivyo vibarua hata wanaovifanya wanajua ni vibarua mshenzi, wanaviita vibolingo associations.

Wewe ndio unaona tatizo Kwa sababu hujiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…