Orodha Rasmi ya Watu wanaokaa Mtandaoni Muda mwingi

Namba moja ni sisi majobless
 
Umewasahau walimu hasa walimu wakuu
Wanakesha sana mtandaoni hawa
 
Pamoja na hayo yote uliyoandika, wanawake ndio wanaoongoza kwa idadi ya watu waliojiunga na social media platforms
 
Asante kwa kutujuza....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…