Orodha Rasmi ya watu wanaopitia Maisha magumu nchini Tanzania

Umesahau wanawake wasiyokuwa na chura
Aise,wanapitia wakati mgumu sana

Ova
 
hapo kwa wafupi umepuyanga

wanawake wengi wafupi wameolewa na wanaume ma super tall

kafanye utafiti wako upya
Mleta mada sijui kama umemuelewa au wewe ndio umepuyanga.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ualimu...dah niliishi kinyonge sana those days nafundisha...tena shule ya msingi.....kiukweli hata weekend unakuwa huna hela kabisa,kazini mazingira magumu.....nikakopa nikanunua boxer bm 150 nikapig boda lkn wapi ndio kwanza nikazid kuongeza uhasama na mabosi zang........pia nafanya kazi zaid ya saa 16 per day.......nikaoa ebwana weeeeee........hapa ndio nikaona najikaanga na mafuta yangu mwenyewe......nikawaza sana......nikaacha kazi mwaka 2020......leo nikikaa naiona nafuu.......japo mambo sio mazuri kihivyo..........Ualimu i salute u!
 
Kundi lingine ni vijana wa ccm..ambao wanakaa na kutukana wapinzani..wakisifu na kuabudu halafu kila teuzi hawamo..hawa jamaa ni zaidi ya wachawi..wana ugulia maumivu makubwa sana moyoni..ni wa kuwahurumia tu..absurd

#MaendeleoHayanaChama
Mmojawapo ni alieleta huu uzi hapa,anatafuta teuzi kwa nguvu saana
 
true kabs singo mama wanateseka ninao wawli wameniganda mmoja ana forty 2 ingne forty5 whilst me kidume nina 32 najigongea kwa gharama ndogo tu.watu wafupi mna tabu kuanzia jeshn mpaka makampun ya ulinzi mnabaguliwa sana.ukiona viumbe wafupi maeneo hayo ujue wameingia kwa mchongo mrefu
 

Watu wafupi tutakuloga ujue
 
true kabs singo mama wanateseka ninao wawli wameniganda mmoja ana forty 2 ingne forty5 whilst me kidume nina 32 najigongea kwa gharama ndogo tu.watu wafupi mna tabu kuanzia jeshn mpaka makampun ya ulinzi mnabaguliwa sana.ukiona viumbe wafupi maeneo hayo ujue wameingia kwa mchongo mrefu
 
Yani mbona nipo makundi Kama sita hapo, ninakosekana kwenye wasichana wa kazi tu. Sasa mi maisha yangu yana furaha kweli mbona hata mi mwenyew sielewi?? [emoji1][emoji1].

Umeongea ukweli Ila kuhusu kuepuka usingle mother hii kesi ni kubwa umesema elimu itolewe kwa wasichana namna ya kupata waume zao, sio wasichana tu hata vijana wa kiume wapewe elimu wasiwe wanakimbia majukumu wakati wao ndio Mara nyingi waanzilishi wa hizo sarakasi.
 
8.ASKARI
 
Wenye vibamia umetusahau asee, tunapitia hali nguma na kunyanyapaliwa na wadada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…