Orodha Rasmi ya watu wanaopitia Maisha magumu nchini Tanzania


Na ukipata moja ya hivyo inakuwa kete yako muhimu ya kujiamini.
 
MWanamke mfupi bana mie hataa simkubali mbegu gani ile?? kwa sababu na papuchi zao ni fupi fupi tu! nurses wanajua, kwa ndani kwa nje!! sasa njemba ndeeefu itamfunikaje! wakati wa baridi yaani afunikwe robo?? mweee!! sioni mapenzi hapo!

kitu banawee uchezee tangia chini mpaka juu huku! kirefu km wema! safi...sasa kafupi kitandani unakatafuta kameanguka hukoooo!! hata ukiingia chumbani waweza dhania hakuna mtu!!! kako chini ya makabati hukooo!!

asikudanganye mtu wafupi huwaga inaingia nusu au kichwa peke yake!!! sasa weye kijan utaishi kwa kichwa tuuu mpaka lini?? mpaka uzee si ndo mwanzo wa kuwa Malaya huo? na uishie kurogwa?

sasa kakinenepa ndo kichekesho kabisaa hpo tumbo litagusa mchanga!!.......kila siku lazima ucheke hasa kakikaa kwenye sofa! km unataka kucheka kila siku sawa!! lkn katakupa jina!!....ila ole wako kajue unakacheka kenyewe!

tena uandae visu vya kutosha hapo nyumbani kwako, kulingana na idadi ya watoto unao taka kuwa nao sababu kata zaa kwa Caesserian!!...sasa gharama hizo nani anataka!??

na ni upate mtoto wau ukose vyote haka siku yeyote kana kufia huko!! roho juu. juu ebu fikiria baba mrefu halafu azae toto refu ndani ya mama mfupi ni uuaji jamani mvihurumie!!

ni sawa na ng'ombe la kisasa lizae na ng;ombe wa kienyeji hiyo mimba itakaua hako ka ng'ombe ka kienyeji
 
Vile vile hujazungumzia wenye flat screen/hawana matako, wanawake wa kichagga miongoni mwao hawana matako, je utafiti usemaje kwa hawa wenye flati?
falt screen nasikia watamu sana naniliu yote imehamia mbele!! yaani mwana hapa utavuna kivuno chema!! wana siri hawa usiache weee!! nakuonya!
 
MWanamke mfupi bana mie hataa simkubali mbegu gani ile?? kwa sababu na papuchi zao ni fupi fupi tu! nurses wanajua, kwa ndani kwa nje!! sasa njemba ndeeefu itamfunikaje! wakati wa baridi yaani afunikwe robo?? mweee!! sioni mapenzi hapo!
😳😳😳😳😳😳
Hii ID ni ya jamaa ni mwanaume kumbe.

Siku zotee nikiona hii avatar inanitamanisha kuzama PM kumbeee
πŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ

#YNWA
 
Binafsi ni mrefu sana ila napenda sana marafiki wafupi naenjoy sana nikiwa nao then tunakuwa tunapigana tafu sana .. na huwa napenda sana mwanamke mfupi yaani mchumba mfupi!!
 
Utafiti mzuri Ila hujasema mzee halima na nduguyai kundi walimo..
Lakini pia
Umesahau kundi la Frustrated Mothers. Mijimama yenye madaraka serikalini na kwenye mashirika ya UN lkn hawana maelewano na waume zao au majirani zao. Utawakuta wakinywa wine na hupenda kutembea na watoto wadogo kwao by far wa wanawake maskini.
 
Ulivyofika kwa watu wafupi umetumwagia upupu kinoma Yani kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…