Orodha Rasmi ya watu wanaopitia Maisha magumu nchini Tanzania



Utafiti ungepaswa kuandikwa inaendelea sio?
 
Binafsi ni mrefu sana ila napenda sana marafiki wafupi naenjoy sana nikiwa nao then tunakuwa tunapigana tafu sana .. na huwa napenda sana mwanamke mfupi yaani mchumba mfupi!!

Wafupi sifa Yao nzuri ni ujanja na Akili
 
🀣🀣🀣

Mimi ugomvi na watu wafupi siuwezagi.

Nimekumbuka utani WA Nyerere alipofika upareni, Ile hadithi Kama ni kweli πŸ˜€πŸ˜€ kuna watu wanadhambi sana
Mkuu naomba hiyo hadithi tafadhali
 
Utafiti wako uko vizuri,ila umesahau kuhusu watu warefu sana haswa wanaume,huwa Wana udhaifu wa kujiamini kupita kiasi,na kusababisha mambo mengine kuwaendea kombo sababu ya kujiamini kulikopitiliza.
 
Hawa inawabeba pesa.....utasikia watafutaji.......pakujificha kupo..........tutafute pesa
 
Umeandika nini sasa hii
 
This might be the best Thread for this year 2022.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…