peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 May 22, 2024 #1 1. Kitunda (Tabora) - Rungwa - Kambi Katoto - Lupa tingatinga - Makongorosi (Chunya) 2. Rungwa - Kintanula - Itigi (Singida). 3. Mererani - Orkesmet - Kiteto (Manyara). 4. Geita - kwenda Kahama 5. Tarime kwenda Serengeti kupitia Mugumu. Cha kushangaza, serikali kwa miaka 60 ya uhuru, ina angalia TU bara bara hizo na kuona ni jambo la kawaida.
1. Kitunda (Tabora) - Rungwa - Kambi Katoto - Lupa tingatinga - Makongorosi (Chunya) 2. Rungwa - Kintanula - Itigi (Singida). 3. Mererani - Orkesmet - Kiteto (Manyara). 4. Geita - kwenda Kahama 5. Tarime kwenda Serengeti kupitia Mugumu. Cha kushangaza, serikali kwa miaka 60 ya uhuru, ina angalia TU bara bara hizo na kuona ni jambo la kawaida.
M Mimimollel Member Joined Mar 9, 2024 Posts 8 Reaction score 6 May 22, 2024 #2 Ipo shortcut ya barabara kuunganisha east affrican road na mji wa mirerani hadi machimboni kupitia mbugun,,, magari mengi sana, barabara mbovu, japo kila mwaka wa najitahidi kufanya repair
Ipo shortcut ya barabara kuunganisha east affrican road na mji wa mirerani hadi machimboni kupitia mbugun,,, magari mengi sana, barabara mbovu, japo kila mwaka wa najitahidi kufanya repair