Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Umewahi kuona namlalamikia?Kama hilo ni kweli QUIGLEY, nashangaa sana ilikuwaje skunk aka kulobb katika utaperi wake, mkuu mnatakiwa mtubu hii dhambi vinginevyo itawaandama sana
Vijana wamebaki kama yule MYAHUDI JR wakishangilia kielelezo cha mafanikio kama kununua laptop.
Tubuni mkuu!!
Binafsi sijawahi kuingizwa mkenge na mtu
The List