Orodha ya biashara kwa mtaji kiduchu zenye uhakika wa kukulipa awamu hii ya tano

Umewahi kuona namlalamikia?
Binafsi sijawahi kuingizwa mkenge na mtu
The List
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu mimi ni mjasiriamali wa hatari kuliko unavyofikiri.
Leo nimefarijika kuona kumbe una madini flani.
Huwa nakuweka kwenye kundi la walevi mavi, kumbe sivyo!
Hongera sana
Acha kunitukania baby wangu[emoji35] [emoji35] [emoji35]

Empty set
 
Chakula hoyeee...
Jamani kuna namna ya kuanza mdogo mdogo bila kupambana na TRA,

Kwa mfano unaweza ukatengeneza chips points kadhaa ukaka pembeni kwanza,
Ukitaka kuingia kwenye mgahawa na hotel hapo ndipo utapambana na restaurant,

Unaweza pia ukajiwekeza kwenye kuandalia watu vitu vya upishi,
Kama viungo,mbogamboga n.k hapa utapambana na TFDA kulingana na unapohitaji kufikisha biashara yako.

Ukitoa mazao mkoani kupeleka masokoni hapo TRA mnapishana tu...
 
Asantee sana, nimefurahi sana kusoma uzi huu kwasababu umekuja wakati muafaka na nimejua nifanye nini....nashukuru sana[emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…