Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pombe bana ukifiwa unakunywa ukifumaniwa unakunywa
Ukifukuzwa kazi unakunywa
Ukipata kazi unakunywa
Na ukifa wenzako bado wanakunywa.........I love this buzness
Asante sana Mkuu kwa maelezo ya utangulizi na ahadi yako pia. Tafadhali siku ukifungua uzi huo, ni tag.TUJITEGEMEE
Umezungumza mada nzuri sana, infact uko nyuma niliwahi kuigusia katika uzi wangu "Mbinu za TMK nazotumia kupiga hela kipindi hiki"
Ingawa sikuieleza kiundani kwasababu ya kufupisha uzi lakini hii ni moja ya tamaduni iliyozoeleweka kwa miaka mingi katika ujasiriamali, na hasa katika nchi za magharibi ambapo wajasiriamali wengi wameuza au kununua biashara fulani.
Na ata Afrika sasa imekuwa sana, na moja ya mifano mizuri ni mwalimu/role model ambae namuhusudu sana Vusi Thembekwayo..huyu msouth Africa aliuza kampuni yake Motiv8 kwa mpunga mrefu sana ambao mpaka leo umemfanya kuwa moja ya wajasiriamali wadogo wenye mafanikio Afrika.
Hili swala lina pande mbili kununua na kuuza, kwa upande wa kuuza kuna biashara zinazoanzishwa kwa mikakati kabisa ya kuja kuuzwa uko mbeleni yaani wenhew wanita exit strategy..apa kuna vingazitio ambavyo mjasiriamali lazima uvigaye tangu siku ya kwamza unapofungua kampuni
Swala la kununua, apa hakuna shuguli sana ikiwa records zote za kampuni umepewa ni jukumu lako kwa utaalum wako wa kusoma namba. Maana biashara ni namba, kujua biashara hii kwa hela utakayonunulia je return yake itakulipa..apa pia kuna vizangatio
Uko nyuma niliwahi kununua biashra ya swahiba yangu fulani alafu baada ya muda nikaiuza tena kwa mtu wangu mwingine wa karibu, ambayo mpaka leo huwa tukikutana na swahiba aliyeniuzia tunachekana na kutaniana yeye akisema aliniuzia kwa bei chee lakini mimi pia nalia niliuza hasara ingawa bado na shares kiduchu maana biashara ile ina thamani mara nne ya bei tulizouziana wakati ule.
Hii ina maana kama ningeuza shares zangu zote basi leo hii ningekuwa nalia mara mbili zaidi.
Ni mada pana ambayo inahitaji ufahamu wa kujua kuzisoma 'income statements' kwa kina na kufanya 'projections'..maana unaweza ukawa na biashara yenye mtaji wa mill10 lakini kwa projection za uko mbeleni biashara hii inaweza ikawa na thamani ya mill50 ..hivyo maamuzi ya kununua kampuni ya mil10 kwa mill50 kwa matarajio uko mbeleni itakulipa yanahitaji ufaham mkubwa wa 'namba'.
Nikuombee 'uniombee' na uko mbeleni basi bila hiyana nitaandika uzi kuhusu jambo hili kwa uzoefu na mawazo yanayotekelezeka kuhusu mambo ya kuzingatia kwa,
-mjasiriamali anaeuza biashara ili asiuze kwa hasara kwa kujua thamani ya biashara yake
-Na kwa mnunuaji ni vitu gani pia uzingatie unapoamua kununua biashara ya mtu ili usije ukalipa pesa kubwa ambayo haitarudi.
Mkuu.. Acha kabisa jamaa wanakuja kufukua makaburi 5 years back.Umelenga mle mle, adui wa biashara KWA SASA NI TRA
Sasa hivi hakuna namna utawakwepa TRA..Chakula hoyeee...
Jamani kuna namna ya kuanza mdogo mdogo bila kupambana na TRA,
Kwa mfano unaweza ukatengeneza chips points kadhaa ukaka pembeni kwanza,
Ukitaka kuingia kwenye mgahawa na hotel hapo ndipo utapambana na restaurant,
Unaweza pia ukajiwekeza kwenye kuandalia watu vitu vya upishi,
Kama viungo,mbogamboga n.k hapa utapambana na TFDA kulingana na unapohitaji kufikisha biashara yako.
Ukitoa mazao mkoani kupeleka masokoni hapo TRA mnapishana tu...
Nimependa hii kitu mkuu..Ukimaliza darasa hili naomba tafadhali uanzishe na darasa la kununua biashara ya mtu. Yaani unakuta mtu anaduka, ama kiwanda, ama muoka mikate na kadhalika na unataka ununue ama yeye anataka auze biashara hiyo. Vitu gani vya kuangalia kipi kizingatiwe katika kununua biashara ya mtu? Ununuzi wa biashara si jambo geni, wamefanya hivyo facebook kwa intagram, microspft ndiyo usisema, huko Canada nasikia ndiyo dili kabisa.
Inasemekana ni rahisi sana kununua biashara na kuiendeleza kuliko kuianzisha na kuindeleza. Nilikuwa natafuta mtu mwenye ujuzi wa ujasiriliamali anipe shule inayoeleweke. Kwa maelezo yako hapo juu. Nadhani mtu mwenyewe nimempata.
Karibu mkuu.
[emoji122] [emoji122] [emoji122]TUJITEGEMEE
Umezungumza mada nzuri sana, infact uko nyuma niliwahi kuigusia katika uzi wangu "Mbinu za TMK nazotumia kupiga hela kipindi hiki"
Ingawa sikuieleza kiundani kwasababu ya kufupisha uzi lakini hii ni moja ya tamaduni iliyozoeleweka kwa miaka mingi katika ujasiriamali, na hasa katika nchi za magharibi ambapo wajasiriamali wengi wameuza au kununua biashara fulani.
Na ata Afrika sasa imekuwa sana, na moja ya mifano mizuri ni mwalimu/role model ambae namuhusudu sana Vusi Thembekwayo..huyu msouth Africa aliuza kampuni yake Motiv8 kwa mpunga mrefu sana ambao mpaka leo umemfanya kuwa moja ya wajasiriamali wadogo wenye mafanikio Afrika.
Hili swala lina pande mbili kununua na kuuza, kwa upande wa kuuza kuna biashara zinazoanzishwa kwa mikakati kabisa ya kuja kuuzwa uko mbeleni yaani wenhew wanita exit strategy..apa kuna vingazitio ambavyo mjasiriamali lazima uvigaye tangu siku ya kwamza unapofungua kampuni
Swala la kununua, apa hakuna shuguli sana ikiwa records zote za kampuni umepewa ni jukumu lako kwa utaalum wako wa kusoma namba. Maana biashara ni namba, kujua biashara hii kwa hela utakayonunulia je return yake itakulipa..apa pia kuna vizangatio
Uko nyuma niliwahi kununua biashra ya swahiba yangu fulani alafu baada ya muda nikaiuza tena kwa mtu wangu mwingine wa karibu, ambayo mpaka leo huwa tukikutana na swahiba aliyeniuzia tunachekana na kutaniana yeye akisema aliniuzia kwa bei chee lakini mimi pia nalia niliuza hasara ingawa bado na shares kiduchu maana biashara ile ina thamani mara nne ya bei tulizouziana wakati ule.
Hii ina maana kama ningeuza shares zangu zote basi leo hii ningekuwa nalia mara mbili zaidi.
Ni mada pana ambayo inahitaji ufahamu wa kujua kuzisoma 'income statements' kwa kina na kufanya 'projections'..maana unaweza ukawa na biashara yenye mtaji wa mill10 lakini kwa projection za uko mbeleni biashara hii inaweza ikawa na thamani ya mill50 ..hivyo maamuzi ya kununua kampuni ya mil10 kwa mill50 kwa matarajio uko mbeleni itakulipa yanahitaji ufaham mkubwa wa 'namba'.
Nikuombee 'uniombee' na uko mbeleni basi bila hiyana nitaandika uzi kuhusu jambo hili kwa uzoefu na mawazo yanayotekelezeka kuhusu mambo ya kuzingatia kwa,
-mjasiriamali anaeuza biashara ili asiuze kwa hasara kwa kujua thamani ya biashara yake
-Na kwa mnunuaji ni vitu gani pia uzingatie unapoamua kununua biashara ya mtu ili usije ukalipa pesa kubwa ambayo haitarudi.
![]()
fahari mama wa ujinga..insha ndeefu hakuna substance zaidi ya majigambo tu..asiejiamini hujigamba kwa kuwa ana mapungufu..endelea kuandika pumba zako humu ukiamini ni kipimo cha welediKuandika ndio moja ya vipaji nilivyo navyo hasa linapokuja swala la kutype. Na kama ungejua idadi ya maneno nayoandika kwa mawasiliano yangu ya email kwa siku ata usingeropoka.
Kuna kanuni katika kitabu cha 'Art of war' cha mwandishi Sun Tzu inayosisitiza kuhusu umuhimu wa kumjua adui..na ndivo nilivofanya kwako yaani unawezaje kunikosoa nguchiro pori kama ww kuhusu 'lugha mama' ambae tangu mwaka 2014 una uzi mmoja tena mbaya zaidi wa 'utambulisho' tu..pathetic imbecile!!
-Na kipimo cha kujua uvundo wa mtu kichwani ni kumpa nafas ya kuongea au kuandika..
hivi vitu 'mgumba wa fikra' kama wewe huwezi kuvijua..maana zaidi ya 'kucheketuliwa' hakuna unachojua.
nilikuambia mpaka akili ije ikukae ntakuwa tayari 'nimekubonyeza' kizenji huku nikikucheketua kwa stail ya makhirimakhiri apo 'bakta'.
Fils de pute!!
Hapa kwa hao TRA hasa wale wanaofanya mahojiano ni changamoto sana, mm niliendaga kwaajili ya process ya kupata leseni, maswali ambayo alikua ananiuliza mengi sikuyategemea ila kwakua nilikua najua majibu yangu ndio yatapelekea kwenye makadilio ilinibidi nitumie akili nyingi kujibu,Kwanini watumie maelezo kukukadiria, hili ndo tatizo haswa. Pia inategemea nani unampa maelezo, wengine hawaelewi wanajua kukupangia tu cha kulipa.
dah..unazidi kujipambanua uwezo wako ndani ya bufuru..endelea kudanganya watu na biashara ya urembo ilhali warembo wanategemea kuhongwa ili wajirembe na wahongaji wakiwa na hali mbaya kifedhaHicho cheo ulichoniita cha 'mama wa ujinga'..ni lini mama yako amekiacha?
Maana navyokumbuka katika dunia yetu ya 'ujinga' yeye ndio Malkia wetu!!
Hahhahhaa atapita kimya kimya mkuuLe mutuz akili kubwa atapitia sasa hivi(nimesema tuu)
Anyway kila kitu hapo ni fact!!
Nimewai jaribu hiyo ya chakula kipindi cha nane nane mkoa fulani nikiwa bado ni mwanafunzi wa chuo.Sio siri kwa mtaji mdogo sana ndani ya siku 10 tu nilipata millions.
Kuna uzi mmoja wa le mutu the list alimpa fact tumbo kubwa akawa anahara tu mwishowe akasema the list ni x wife wake [emoji23]ila mshind alijulikanaILIKUAJE BOSS TUPE MECHANISM