Orodha ya biashara kwa mtaji kiduchu zenye uhakika wa kukulipa awamu hii ya tano

Asante sana Mkuu kwa maelezo ya utangulizi na ahadi yako pia. Tafadhali siku ukifungua uzi huo, ni tag.
 
Umelenga mle mle, adui wa biashara KWA SASA NI TRA
Mkuu.. Acha kabisa jamaa wanakuja kufukua makaburi 5 years back.
Nipo nao sasa hivi nikivuka salama Mungu mkubwa.
 
Sasa hivi hakuna namna utawakwepa TRA..
Mpaka wakaanga kiepe wanakabiliwa
 
Nimependa hii kitu mkuu..
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
fahari mama wa ujinga..insha ndeefu hakuna substance zaidi ya majigambo tu..asiejiamini hujigamba kwa kuwa ana mapungufu..endelea kuandika pumba zako humu ukiamini ni kipimo cha weledi
 
Kwanini watumie maelezo kukukadiria, hili ndo tatizo haswa. Pia inategemea nani unampa maelezo, wengine hawaelewi wanajua kukupangia tu cha kulipa.
Hapa kwa hao TRA hasa wale wanaofanya mahojiano ni changamoto sana, mm niliendaga kwaajili ya process ya kupata leseni, maswali ambayo alikua ananiuliza mengi sikuyategemea ila kwakua nilikua najua majibu yangu ndio yatapelekea kwenye makadilio ilinibidi nitumie akili nyingi kujibu,

Ss nilivyotoka nikawa najiuliza hivi kwa mtu ambae hajui ataulizwa nn na pengine hana elimu ya hata ndogo ya uchumi na kuhusu kodi akienda si anaweza kujikuta anapewa makadilio makubwa akaogopaa!!!

Ila kulipa kodi ni muhimu na inaleta raha ktk kufanya biashara yako japo ujanja upo tunafanya na tutaendelea kuufanya [emoji2]
 
Safi sana chief pia Asante .kwa kuchallenge/kufungua bongo zetu, nimesoma uzi wote na hakika nimepata vitu,

Moja ya sababu ya mm kujiunga JF ni kupitia jukwaa la Ujasiriamali na Biashara/Uchumi,
...na kupitia mada kama hizi naamini vijana wakijadiliana kwa hoja na kufanyia kazi mjadala wanaweza kuinua uchumi wao na uchumi wa taifa pia,

Tukija kwenye huu mjadala asee ni kweli hizo fursa umeziongelea ni fursa muhimu niongezee moja au kama ktk muendelezo itakuwepo pia itapendeza...hii Sekta AFYA inafursa ktk kipind hiki cha term 5 ambayo wengi wanalia vyuma kukaza, uligusie hili pia chief...

Asee pia ngoja niwe mkweli kwa upande wangu naona TZ kwenye sekta ya ujasiriamali wanazingua sanaaa hasa hao wazee wa TRA....si ajabu watu tunaikimbia nchi kwenda kuangalia fursa sehemu zingine kwenye mazingira rafiki.
 
Hicho cheo ulichoniita cha 'mama wa ujinga'..ni lini mama yako amekiacha?

Maana navyokumbuka katika dunia yetu ya 'ujinga' yeye ndio Malkia wetu!!
dah..unazidi kujipambanua uwezo wako ndani ya bufuru..endelea kudanganya watu na biashara ya urembo ilhali warembo wanategemea kuhongwa ili wajirembe na wahongaji wakiwa na hali mbaya kifedha
 
Aiseee The List nimechukua muda kusoma huu uzi na kuurudia ...kama tukijiongeza kidogo sana tutaweza pambana na hali ya sasa
 
Hahhahhaa atapita kimya kimya mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…