Orodha ya celebrities wa tanzania wenye followers wengi INSTAGRAM

Orodha ya celebrities wa tanzania wenye followers wengi INSTAGRAM

esc343

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
354
Reaction score
581
1. Diamond Platnums ~ 1.2 million
2. Wema Sepetu ~ 1 million
3. Millard Ayo ~ 994k
4. Jokate Mwongelo ~ 936k
5. Jackline Wolper ~ 915k
6. Vannesa Mdee ~ 905k
7. Shilole ~ 839k
8. Aunty ezekiel ~ 788k
9. Kajala Masanja ~ 778k
10. Ommy dimpoz ~ 751k

Source: instagram

Qn? King of all social media simuoni??
 
U know wee ni le mbururaz ! Le gademn na mafantazzz..

Kuna mwenye Tatizo huko?

(Mkuu Natania). Hahahahaaa

Ha ha
Le akili kubwaz you know..... I think fast 20 times than any man
Ha ha ha
 
Followers pia wananunuliwa.

Siku instagram wakiamua kuclean na kuondoa followers hewa ndio mtajua followers halisi.
 
Ha ha
Le akili kubwaz you know..... I think fast 20 times than any man
Ha ha ha

Le akili kubwaazz....wewe ukiwa November 20 2015...yeye yuko March 15 2016...

Le akilizzzz
 
Namba mbili ana bahati mbaya chochote cha kuingiza pesa vinamkimbia labda vya mwili tu.
 
Followers pia wananunuliwa.

Siku instagram wakiamua kuclean na kuondoa followers hewa ndio mtajua followers halisi.
Basi kama ni hivo tumuite/tuwaite hawa watu wanunuzi wa kila sehemu kuwa ni matajiri kuna watu wameachwa mbali sana kipesa.lakini siku wakipangwa wasanii wenye pesa nyingi mutasema huyu jamaa hana kitu.
 
Sionagi umuhimu wa followers kibongo ka hao kina aunty sijui shilole wema wanajulikana hapa hapa Tizii with nothing to show wakati Nigeria wana mastaa wenye mkwanja na wanajulikana Africa nzima kuanzia film muziki na wana follower wakawaida tu
 
1. Diamond Platnums ~ 1.2 million
2. Wema Sepetu ~ 1 million
3. Millard Ayo ~ 994k
4. Jokate Mwongelo ~ 936k
5. Jackline Wolper ~ 915k
6. Vannesa Mdee ~ 905k
7. Shilole ~ 839k
8. Aunty ezekiel ~ 788k
9. Kajala Masanja ~ 778k
10. Ommy dimpoz ~ 751k

Source: instagram

Qn? King of all social media simuoni??

Kuna watanzania wapuuzi wengi sana kumbe...

Hivi huyo Wema anawezaje kuwa na Followers Million 1??

Ukitaka kujua Instagram ni mtandao wa wajinga hapa Tanzania, nenda kaangalie Followers wa huyo mlaya Twitter..
 
Sionagi umuhimu wa followers kibongo ka hao kina aunty sijui shilole wema wanajulikana hapa hapa Tizii with nothing to show wakati Nigeria wana mastaa wenye mkwanja na wanajulikana Africa nzima kuanzia film muziki na wana follower wakawaida tu

They have big booties to show... Do not underestimate that..

Na umbeya ndio unawalipa ndio maana wanapata watu wa kuwasoma.. Si unaona hata Shigongo anaendesha biashara kwa faida mwaka zaidi wa 10 huu..
 
Word" kwanza twitter wema anaonekana mshamba tu nonsense hamna cha maana anachoandika"
 
They have big booties to show... Do not underestimate that..

Na umbeya ndio unawalipa ndio maana wanapata watu wa kuwasoma.. Si unaona hata Shigongo anaendesha biashara kwa faida mwaka zaidi wa 10 huu..

Big booties with nothing to show or money in the bank is useless. Zaidi ya ujinga sijui timu gani kutukanana upuuzi wa wasiostaarabika tu. Eti Wema ndo role model wao insta kibongo bongo ni mtandao wa mashankupe flani hivi asilimia kubwa
 
Sionagi umuhimu wa followers kibongo ka hao kina aunty sijui shilole wema wanajulikana hapa hapa Tizii with nothing to show wakati Nigeria wana mastaa wenye mkwanja na wanajulikana Africa nzima kuanzia film muziki na wana follower wakawaida tu

Hawa wakitumiwa for advertisement za makampuni kama za simu, it pays
Hardly 2 million people watch Tv stations kama channel 10
Lakini kuna kampuni za simu zinalipa airtime kubwa sana for such channel

I bet wakimuomba shishy bby a post Tangazo la airtel money daily saa mmoja wanampa 1 million in a month, it pays
 
Back
Top Bottom