Mtoto wa diamond(princess tiffa) ana followers wengi kumpita king of all social media( mzee wa degree 3)
Ha ha
Le akili kubwaz you know..... I think fast 20 times than any man
Ha ha ha
Basi kama ni hivo tumuite/tuwaite hawa watu wanunuzi wa kila sehemu kuwa ni matajiri kuna watu wameachwa mbali sana kipesa.lakini siku wakipangwa wasanii wenye pesa nyingi mutasema huyu jamaa hana kitu.Followers pia wananunuliwa.
Siku instagram wakiamua kuclean na kuondoa followers hewa ndio mtajua followers halisi.
1. Diamond Platnums ~ 1.2 million
2. Wema Sepetu ~ 1 million
3. Millard Ayo ~ 994k
4. Jokate Mwongelo ~ 936k
5. Jackline Wolper ~ 915k
6. Vannesa Mdee ~ 905k
7. Shilole ~ 839k
8. Aunty ezekiel ~ 788k
9. Kajala Masanja ~ 778k
10. Ommy dimpoz ~ 751k
Source: instagram
Qn? King of all social media simuoni??
Sionagi umuhimu wa followers kibongo ka hao kina aunty sijui shilole wema wanajulikana hapa hapa Tizii with nothing to show wakati Nigeria wana mastaa wenye mkwanja na wanajulikana Africa nzima kuanzia film muziki na wana follower wakawaida tu
Kuna watanzania wapuuzi wengi sana kumbe...
Hivi huyo Wema anawezaje kuwa na Followers Million 1??
Ukitaka kujua Instagram ni mtandao wa wajinga hapa Tanzania, nenda kaangalie Followers wa huyo mlaya Twitter..
They have big booties to show... Do not underestimate that..
Na umbeya ndio unawalipa ndio maana wanapata watu wa kuwasoma.. Si unaona hata Shigongo anaendesha biashara kwa faida mwaka zaidi wa 10 huu..
Sionagi umuhimu wa followers kibongo ka hao kina aunty sijui shilole wema wanajulikana hapa hapa Tizii with nothing to show wakati Nigeria wana mastaa wenye mkwanja na wanajulikana Africa nzima kuanzia film muziki na wana follower wakawaida tu