Orodha ya celebrities wa tanzania wenye followers wengi INSTAGRAM

Unajua kajiunga lini instagram ila bwana ukitaka kupata followers wengi instagram ni skendo tu hamna kingine
Ndo maana nuh mziwanda ana followers wengi kuliko richmavoko na belle9 kwa skendo kuimba zero

kwa kweli sijawai kujiunga instagram nadhan i have made correct decision!!!
 
Mi huwa nashindwa kuelewa... Mtu ana followers 900K....anapost kitu kizuri tu na unashangaa ana likes 2k!!!
 

Katika hao ukitaka kujua kiba ni staa hajamfollow ----- yyte Insta.... Ila waangalie hao wengine... Au hulijui hilo tukufahamishe
 

Afu milard ana followers 1 mil..nyau we unatudanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…