TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Elezea unachotaka kuwasilisha mkuuUplifting.
sijaelewa mkuu,fafanuaKampuni unafungua BRELA tayari wanaanza kukwambia ufile ? Why ?
Nimeelewa,nafikiri wao wanaangalia business plan yako,bila kujua kwamba si kila mtu anaanzisha biashara kisasa.Una jikadiriaje mapato wakati ndio una anza biashara
IDRAS?,UGUMU UPO WAPI MKUU KATIKA MATUMIZI?Hili li mfumo lao la sasa ni la kijinga sana, very poor user interface and user experience ndio worse kabisa
Jamaal wakiona umezubaa wanakukadiria wao na huchomokiUna jikadiriaje mapato wakati ndio una anza biashara
Hii ya makadirio nimelifanyia kaziJamaal wakiona umezubaa wanakukadiria wao na huchomoki
Kwann mtu akichelewa kufile return siku moja tuu fine ina anza 200kNimeelewa,nafikiri wao wanaangalia business plan yako,bila kujua kwamba si kila mtu anaanzisha biashara kisasa.
Wazo zuri nalifanyia kazi
mimi sijui ila kunakitu nakifanyia kazi ili kuleta maboresho kuzikabili changamoto zilizopo,nafikiri lengo ni kuharakisha zoezi la ulipaji,na hii yote ni kwa sababu mambo mengi yanafanyika manually,wakati yanaweza kuwa moderated with powerful impacts digitaly.Kwann mtu akichelewa kufile return siku moja tuu fine ina anza 200k
Hujui ok wewe ni afisa wa Tra au mwanachuo upo kwenye dissertationmimi sijui ila kunakitu nakifanyia kazi ili kuleta maboresho kuzikabili changamoto zilizopo,nafikiri lengo ni kuharakisha zoezi la ulipaji,na hii yote ni kwa sababu mambo mengi yanafanyika manually,wakati yanaweza kuwa moderated with powerful impacts digitaly.
Mfano kila biashara ikiwa moderated na mfumo wa TRA,na kuchambuliwa na mfumo wa TRA,basi mfumo utatengeneza draft ya return ,kazi ya afisa itakuwa kupitia makosa madogomadogo na wewe kupitia kwa ajili ya objection,kama hakuna basi utaendelea na malipo.
Zaidi wanatumia nguvu sana badala ya maarifa.
sio mwanachuo,wala AFISA wa TRA,ila nina kazi yangu maalumu inayolenga kufanyia maboresho changamoto kama hiziHujui ok wewe ni afisa wa Tra au mwanachuo upo kwenye dissertation
Elezea unachotaka kuwasilisha mkuu
Nipe process za kufungua account ili nisajiri tin numberIDRAS?,UGUMU UPO WAPI MKUU KATIKA MATUMIZI?
Fuata hii kiungo,kisha bofya "tin registration",kama ni kwa ajili ya buiashara chagua BUSINESS,kama,ni leseni ya udereva chagua INDIVIDUAL,then fuata maelekezo,kama una NIDA chagua kipengeli kilichoandika with NID,kama huna chagua kipengele cha pili.Nipe process za kufungua account ili nisajiri tin number