Huu uonevu haivumiliki. Biashara nyingi kwa sasa zimeyumba kutokana na huu mdororo wa uchumi unaondelea nchini! Wafanyabiashara wanahangaika kupambana na marejesho, hali ngumu ya biashara, nk. Unachelewa kulipa kodi kabla ya tarehe 30, eti unapigwa penati ya laki 2! Kama siyo upumbavu ni nini?Kwann mtu akichelewa kufile return siku moja tuu fine ina anza 200k
Huna elimu ya kodi, ulitakiwa ujifunze kabla ya kufungua kampuniKampuni unafungua BRELA tayari wanaanza kukwambia ufile ? Why ?
Kwanini ushuru wa kuagiza gari ni mkubwa sana???Wakuu samahani naomba mtu yeyote aliyewahi kukutana na changamoto yoyote katika suala lolote linalohusiana na Huduma za TRA aandike hapa,itapendeza zaidi ukifafanua ugumu ulikuwa wapi,?
Zaidi naangazia katika malipo ya kodi,kujaza compliance,kutoa mzigo bandarini,kupitisha mzigo mpakani,nk.
Lakini changamoto yoyote ile naomba uandike hapa ninapitia.
ASANTENI
Hii ni kitega uchumi chao mkuu maana wanajua,wengi hawawezi kukwepa huko mkoo,hivyo kulitafutia suluhu hili labda Suluhu ang'atuke.Kwanini ushuru wa kuagiza gari ni mkubwa sana???
Bei ya Gari Kule Japani: Ukiangalia bei halisi ya soko, gari aina ya 2013 BMW Mini Cooper linaweza kuuzwa kwa bei ya ofa ya dola $620 tu (takriban TSh 1,583,167). Ukiongeza na gharama za meli hadi kuifikisha bandari ya Dar es Salaam (Total CIF), jumla kuu inakuwa dola $2,182—ambayo ni takriban TSh 5,630,479. Huu ni mshiko ambao mtu wa kawaida wa mtaani akijichanga anaweza kuupata kabisa!
Balaa la Mfumo wa Kodi Wetu: Sasa geukia hesabu za dharura za serikali kupitia mfumo wa makadirio ya kodi (TRA calculator). Kwa gari lilelile la milioni 5.6, serikali inakutengenezea hesabu ya kodi na tozo za ndani inayofikia jumla ya TSh 9,801,942.84!
1. Kodi Kuzidi Thamani ya Gari: Unanunua na kusafirisha gari kwa TSh milioni 5.6, lakini unalazimika kulipa kodi ya TSh milioni 9.8. Thamani ya kodi ni karibu mara mbili (2x) ya bei halisi ya chombo chenyewe.
2. Mfumo wa Makadirio (Valuation Matrix): TRA hawaangalii bei halisi uliyolipia kwenye risiti yako ya manunuzi. Wana mfumo wao wa ndani unaokadiria gari kwa bei ya juu sana ya kufikirika ili tu kujiingizia kodi kubwa zaidi.
3. Tozo na Ada Zisizokwisha: Ukiacha kodi kuu ya gari, kuna ada ya usajili (TSh 500,000), tozo za dharura (TSh 150,000), bima, gharama za bandari, na mshiko wa mawakala (Clearing Agents) unaoendeleza mlolongo.
asante,vipi kuhusu changamoto za huduma za kikodi?Nina mwaka wa 5 sasa nikifanya biashara na nikilipa kodi. Mwaka wangu wa pili nilijikuta kwenye msogo baada ya kukumbana na sheria. Baada ya hapo nilichukua jukumu la maksudi la kujifunza sheria za kodi za nchi. Tangu hapo nilikua huru sana na mwenye amani.
Uzoefu wangu unaniambia, wafanya biashara wengu hatuna elimu ya kodi ndio maana tunajikuta matatani na kulalamika kila wakati. TRA hawatungi sheria za kodi, sheia zinatungwa na bungi na wao ni wasimamizi wa sheria zilizotungwa tayari.
Ukisikiliza malalamiko mengi ya walipa kodi hasa wadogo, (achana na mamamba yanayolipa kodi billion+) utagundua wengi tunajikuta kwenye shida kwa sababu ya kutokujua tunapaswa kufanya nini wakati gani.
Siku nikikutana na kunyanyaswa nitarudi hapa kutoa hushuhuda, ila msisitizo wangu ni kama umeamua kufanya bishara hakikisha unazijua sheria za kodi ndio ndio maana kuna watu wanalipa wahasibu ili wafanye hio kazi.
Huduma za kikodi? Mfano huduma ipi mkuuasante,vipi kuhusu changamoto za huduma za kikodi?
Asante!!,tatizo ni kwamba kuna mambo hayapaswi kufanywa manually na inawezekana kufanya na mifumo lakini wanafanya kwa makusudi,nalitafakari nione namna yakupendekeza njia bora ya kudhibiti hiliUplifting iko hivi mkuu:
1.Unaona gari kwenye mtandao na bei tajwa ni e.g. $ 3000.
2 Unajadliana na muuzaji na anakubali kukuuzia kwa e.g $ 2000
3. invoice na BOL vyote vinaonesha $2000 kama pesa uliyolipia kununua gari hiyo.
4. Ukifika TRA kulipia kodi ili kulikomboa gari hilo, TRA wanakuambia bei halisi ya hiyo gari ni e.g. $4000
5. Kwa hiyo gari unalipia kodi kwa kutumia makadiro waliyokuambia TRA ($4000) na siyo ile bei iliyo kwenye invoice ($2000).
6. Hayo makadirio ya mchongo ya bei ya gari i.e $4000 badala ya bei halisi ya invoice i.e. $2000 ndiyo "uplifting" yenyewe mkuu.
Unalipa kodi,unafanya return?kila kitu kipo sawa wakati wa kufanya return nk?,auditing na inspection mchakato wake upo sawa?Huduma za kikodi? Mfano huduma ipi mkuu
Sijui wanachukulia uagizaji magari kama anasa za vilevi.Kwanini ushuru wa kuagiza gari ni mkubwa sana???
Bei ya Gari Kule Japani: Ukiangalia bei halisi ya soko, gari aina ya 2013 BMW Mini Cooper linaweza kuuzwa kwa bei ya ofa ya dola $620 tu (takriban TSh 1,583,167). Ukiongeza na gharama za meli hadi kuifikisha bandari ya Dar es Salaam (Total CIF), jumla kuu inakuwa dola $2,182—ambayo ni takriban TSh 5,630,479. Huu ni mshiko ambao mtu wa kawaida wa mtaani akijichanga anaweza kuupata kabisa!
Balaa la Mfumo wa Kodi Wetu: Sasa geukia hesabu za dharura za serikali kupitia mfumo wa makadirio ya kodi (TRA calculator). Kwa gari lilelile la milioni 5.6, serikali inakutengenezea hesabu ya kodi na tozo za ndani inayofikia jumla ya TSh 9,801,942.84!
1. Kodi Kuzidi Thamani ya Gari: Unanunua na kusafirisha gari kwa TSh milioni 5.6, lakini unalazimika kulipa kodi ya TSh milioni 9.8. Thamani ya kodi ni karibu mara mbili (2x) ya bei halisi ya chombo chenyewe.
2. Mfumo wa Makadirio (Valuation Matrix): TRA hawaangalii bei halisi uliyolipia kwenye risiti yako ya manunuzi. Wana mfumo wao wa ndani unaokadiria gari kwa bei ya juu sana ya kufikirika ili tu kujiingizia kodi kubwa zaidi.
3. Tozo na Ada Zisizokwisha: Ukiacha kodi kuu ya gari, kuna ada ya usajili (TSh 500,000), tozo za dharura (TSh 150,000), bima, gharama za bandari, na mshiko wa mawakala (Clearing Agents) unaoendeleza mlolongo.
Umesema wewe si Afisa wa TRA, sasa utafanikiwa vipi kupendekeza kwa wahusika njia bora ya kudhibiti?asa
Asante!!,tatizo ni kwamba kuna mambo hayapaswi kufanywa manually na inawezekana kufanya na mifumo lakini wanafanya kwa makusudi,nalitafakari nione namna yakupendekeza njia bora ya kudhibiti hili
Ukiona mtu anakwama kwenye mchakato wowote wa kikodi muulize vizuri. Kuna mahala anatatizo. Mtu ukiwa na bishara kubwa usifanye mambo tote mwenyewe, kwenye swala la fedha na kodi tafuta muhasibu, nakuhakikishia hutakwama. Kila kitu kipo wazi mzee, ila kuna muda hatufuati wenyewe tu. Mwisho ukiona afisa wa TRA anazengea zengea umpe rushwa, jua kashakuona umeshayabananga, hujangooka, mkienda kisheria hutoboi.Unalipa kodi,unafanya return?kila kitu kipo sawa wakati wa kufanya return nk?,auditing na inspection mchakato wake upo sawa?
Nina ushahidi wa watu 6 wamewabaragazaTRA Mahakamani na wawili wamelipwa fidiaUkiona mtu anakwama kwenye mchakato wowote wa kikodi muulize vizuri. Kuna mahala anatatizo. Mtu ukiwa na bishara kubwa usifanye mambo tote mwenyewe, kwenye swala la fedha na kodi tafuta muhasibu, nakuhakikishia hutakwama. Kila kitu kipo wazi mzee, ila kuna muda hatufuati wenyewe tu. Mwisho ukiona afisa wa TRA anazengea zengea umpe rushwa, jua kashakuona umeshayabananga, hujangooka, mkienda kisheria hutoboi.
Nawashauri sana wafanya biashara wajifinze sheria za kodi kwanza. Amini nakuambia kuna watu wanabiashara kuubwaa mno na wanalipa kodi kisoda, kwasababu, wanafuata utaratibu na wanaijua aheria ya kodi. Kuna mtu ana biashara ndoogoo na analipa kodi mlima, huyo alijichanga tangu mwanzo anaanza na bado hataki kujifunza. Ova
Naam, hilo li wazi. Ukiwa umenyooka na unaijua sheri na taratibu ya kodi hata ukienda TRA unakua unajiamini. Watu wengi hawajanyooka mkuu, wanataka kufanya biashara ila hawati kujifunza sheria za kodi, ndio wanaishi kulalamika dailyNina ushahidi wa watu 6 wamewabaragazaTRA Mahakamani na wawili wamelipwa fidia
umeelewekaNaam, hilo li wazi. Ukiwa umenyooka na unaijua sheri na taratibu ya kodi hata ukienda TRA unakua unajiamini. Watu wengi hawajanyooka mkuu, wanataka kufanya biashara ila hawati kujifunza sheria za kodi, ndio wanaishi kulalamika daily
Jambo lingone niwaongeze watu hapa. The moment ukianza kutumia rushwa kusolve maswala ya kikodi, hakikisha ni swala ambalo likiisha limeiaha, ila kama ni biashara ya mwendelezo, kwama utaendelea kuifanya 10-20+ years to come, nakuambia kunasiku utakwama, na uliokuwa unawapa rushwa hawatakuwepo, na yatafukuliwa makaburi ujikute unalipa faini isiyolipika. Kuna jirani yangu mfanya biashara huwa anapenda kusema, kodi huwa haikwepwi, ukitumia janjajanja ni kama umefukia tu kaa la moto kwa pumba, kuna siku isiyo na jina litaripuka hutaaminiNina ushahidi wa watu 6 wamewabaragazaTRA Mahakamani na wawili wamelipwa fidia
Hizo sheria za kodi zipo wapi mkuu?Naam, hilo li wazi. Ukiwa umenyooka na unaijua sheri na taratibu ya kodi hata ukienda TRA unakua unajiamini. Watu wengi hawajanyooka mkuu, wanataka kufanya biashara ila hawati kujifunza sheria za kodi, ndio wanaishi kulalamika daily
Hizo sheria za kodi zipo wapi mkuu?
Nirushie soft copy au iweke hapa ili kila mtu ajisevie
Ukijipeleka kama raia mwema na mlipa kodi mtarajia kwenye kila kadirio jiandae kupandishiwa tozo!Pia umejipeleka kwa hiari ukiwa na bahati uchukue masaa nane hadi tisa kukamilisha huduma iliyo kupeleks,na ukikaa vibayahata uyaone mazingira ya rushwa!Ama utumoe siku tatu kutoboa mifuko yako mwenyewe!Wakuu samahani naomba mtu yeyote aliyewahi kukutana na changamoto yoyote katika suala lolote linalohusiana na Huduma za TRA aandike hapa,itapendeza zaidi ukifafanua ugumu ulikuwa wapi,?
Zaidi naangazia katika malipo ya kodi,kujaza compliance,kutoa mzigo bandarini,kupitisha mzigo mpakani,nk.
Lakini changamoto yoyote ile naomba uandike hapa ninapitia.
ASANTENI