Orodha ya kwanza ya wanufaika HESLB 2024/2025 yatangazwa

Kauli km hizi ndio zmefanya watu wapunguziwe loan aisee, mambo mengine cyo ya kutamka hadharani walimwengu
Kabisa...inakuwa kama wanafunzi wanataka mikopo ili wawekeze..ndo mana pesa zinatoka kidogo..acheni kauli kama izi mtawakosesha wenzenu mikopo
 
Kwan kuna ubaya kwenye uwekezaji si hata serikali inalitambua ilo suala mpk kodi 18% inachukua sa kosa langu ni lipi hapo
 
Back
Top Bottom