Orodha ya Magari yasiyo na uhakika safarini

Orodha ya Magari yasiyo na uhakika safarini

Hongera kwa kuongeza idadi ya nyuzi JF...
 
Ungeongelea kwa Tanzania ndio ingeleta maana zaidi. Mfano dualis inajulikana, xtrail inafahamika zote hazieleweki safarini, bmw X5 majanga, discovery kila mara inakutana nazo either inavutwa au ipo juu ya trailer.😅😅 Na mengineyo.
Mkuu X5 ina majanga gani? X5 yenye km ngapi?

Maana isijekuwa umepitisha km 160,000 gari linaharibika, halafu unalaumu gari, wakati wewe ndiye umepitisha km za kukaa na gari.

Mimi nimeendedha BMW ilivyokaribia hizo km na kuanza matatizo nikaiacha na kuchukua nyingine mpya.

Hii X5 mpya haina matatizo kabisa.
 
Ila wachaga na RAV4 hapana kama wamechanjiwa vile!
Wachaga wanapenda gari ngumu za kazi. RAV4 Massawe, Prado Mchaga, Suzuki Escudo/Massawe, Hilux pickup hasa zile za zamani 2.8 utazikuta sana uchagani
 
Salamu,ifuatayo ni orodha ya Unreliable Cars ukiwa safarini.Hakuna uhakika wa kufika Kwa 100 asilimia
10. Nissan
09. RAM
08. Cadillac
07. Ford
06. Tesla
05. Chevrolet
04. GMS
03. Volks Wagen
02. Jeeps
01. Mercedes Benz
Hii sio orodha ya magari
 
Salamu,ifuatayo ni orodha ya Unreliable Cars ukiwa safarini.Hakuna uhakika wa kufika Kwa 100 asilimia
10. Nissan
09. RAM
08. Cadillac
07. Ford
06. Tesla
05. Chevrolet
04. GMS
03. Volks Wagen
02. Jeeps
01. Mercedes Benz
Unajua ulichoandika lakini..?
 
Salamu,ifuatayo ni orodha ya Unreliable Cars ukiwa safarini.Hakuna uhakika wa kufika Kwa 100 asilimia
10. Nissan
09. RAM
08. Cadillac
07. Ford
06. Tesla
05. Chevrolet
04. GMS
03. Volks Wagen
02. Jeeps
01. Mercedes Benz
Mimi huwa natumia TOYOTA ISIS WAGON kwa safari ndefu, ni gari nzuri na imara kwa barabara zetu🙏🏾
 
Ungeongelea kwa Tanzania ndio ingeleta maana zaidi. Mfano dualis inajulikana, xtrail inafahamika zote hazieleweki safarini, bmw X5 majanga, discovery kila mara inakutana nazo either inavutwa au ipo juu ya trailer.[emoji28][emoji28] Na mengineyo.
Mkuu kumbe Discover zinasumbua? Niliona moja Discover 3 inauzwa mkononi milioni 35. Kumbe hazifai?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Mtushauri aisee gari ambazo tunatakiwa kuwa makini nazo kwa hapa Tz. Tusije kununua gari kwa mkopo kumbe tunanunua kisukari, pressure, na stroke. Gari inasumbua na bank marejesho kama kawaida.


Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Nyingi zinakuja zina defects, japo sio zote, na pia watu wengi wanafeli maintenance. Wanazipenda lakini hawana uwezo wa kuzihudumia.
Landrover ni miongoni mwa kampuni ambazo ni worst in term of reliability!
 
Back
Top Bottom