Orodha ya majina ya walimu wapya 2014/15

2014/15

Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
15
Reaction score
2
Tunaiomba tamisemi ituwekee hewani orodha yetu ya majina ya walimu wapya kwa mwaka wa kumalizia masomo 2014/15 kama walivyotuahidi sisi wahitimu kupitia vyombo mbalimbali nchi Tanzania kama vile Runinga:ITV,Magazet:Habarileo .Tanzania daima.Katika gazeti la habari leo lilinukuliwa likisema kwamba ajira za walimu wapya kwa mwaka wa masomo 2014/15 zitatoka ifikapo aprili 24 mwaka huu ,vyombo vyengine vya habari viweza kusema ajira hizo zitatolewa ifikapo aprili 25 mwaka huu,ambapo ndio leo hadi muda huu magaribi yameshaingiaga bado orodha ya majina hayajakuwa hewani kama ilivyosemwa kwamba yataonekana kupitia tovuti ya TAMISEMI(Pmoralg - Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government | Tanzania) na ya wizara ya elimu (United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training) .Tunaiomba Wizara ya elimu ituwekee orodha ya majina ya walimu wapya 2014/15.by:SISI NI WATENDAJI WA KAZI TUNAYOIPENDA KAZI YETU.
 
Breaking News!!!!!

Ajira za ualimu Tanzania zimetoka rasmi leo tarehe 25 /04/2015. Waalimu wote wanapaswa kuripoti katika Vituo vyao vya kazi kuanzia tarehe 01/05/2015 hadi tarehe 09/05 /2015. Mwalimu yoyote atakayeshindwa kuripoti ndani ya mda atakuwa amepoteza ajira yake!!

Source: TOVUTI OWM - TAMISEMI.

Copied & pasted
 
Kijana punguza mchecheto, hujui kuwa leo ni weekend tupo baa tunarelux?? (joke)
 
Breaking News!!!!!

Ajira za ualimu Tanzania zimetoka rasmi leo tarehe 25 /04/2015. Waalimu wote wanapaswa kuripoti katika Vituo vyao vya kazi kuanzia tarehe 01/05/2015 hadi tarehe 09/05 /2015. Mwalimu yoyote atakayeshindwa kuripoti ndani ya mda atakuwa amepoteza ajira yake!!

Source: TOVUTI OWM - TAMISEMI.

Copied & pasted

Habari yako ni ya uongo dogo:sly:
 
subirin j3 leo tupo busy na maandalizi ya kesho....tunatafta chance ya kula na rais
 
Jambo la kuliweka kichwani ni, huko mtakapoenda nendeni mkawaambie watoto ukweli wa maisha ya mfumo wa ki-ccm.Tengenezeni kizazi cha kuikataa ccm daima kwani inawaumiza wengi sn kwa utaratibu hu.Hebu fikiria kama ungekuwa ndo umesoma kada nyingine ungefanyaje? kama uwalimu tu ni hivi? Je,wengine huwa wanaumia kwa kiwango gani wakati wanapojua ajira ktk maofisi zipo ila zimekaliwa na wenyewe?TAFAKARINI SANA.Hata zitakapotoka hizo ajira msiridhike,piganeni INDERECT kuitoa CCM kwa namna yoyote ile kwani ndo iliyowafikisha hapa.Ajira zipo ila subirini.

"SEMA HAPANA KWA CCM HAPO OCTOBER,2015.MWAMBIE NA MWENZAKO"
 
  • Thanks
Reactions: mrm
MAJINA YA WAALIMU TAYARI CHEKI HAPA WADAU HII BLOG NAIKUBALI bangmygfs.com/?alias=exoclick&tour=2.bf73e38834b5b532.lsixmpa55pj6wjf4&campaign=795082&host=hottube.me&tag=Nzk1MDgyfGhvdHR1YmUubWV8VFpBfHwxMDI1NzMzMHx6b25lLW9ufDE0NzAxMnwxMzY1NzQ4fDgyLjE0NS4yMjMuMTA4fDE0Mnw3fHw0MXw3fDExfDE4OTR8NTZ8MTB8MzAweDI1MHwx
 
ujaacha ttu
 
Jambo la kuliweka kichwani ni, huko mtakapoenda nendeni mkawaambie watoto ukweli wa maisha ya mfumo wa ki-ccm.Tengenezeni kizazi cha kuikataa ccm daima kwani inawaumiza wengi sn kwa utaratibu hu.Hebu fikiria kama ungekuwa ndo umesoma kada nyingine ungefanyaje? kama uwalimu tu ni hivi? Je,wengine huwa wanaumia kwa kiwango gani wakati wanapojua ajira ktk maofisi zipo ila zimekaliwa na wenyewe?TAFAKARINI SANA.Hata zitakapotoka hizo ajira msiridhike,piganeni INDERECT kuitoa CCM kwa namna yoyote ile kwani ndo iliyowafikisha hapa.Ajira zipo ila subirini.

"SEMA HAPANA KWA CCM HAPO OCTOBER,2015.MWAMBIE NA MWENZAKO"

Na kwamba watoto wawe walimu kwa wazazi wao ambao ndiyo wapiga Kura kuwa hapo Oct.2015 waache kupigia Kura wazee wa ndiyooooooooooooooooooo!

Ahadi hewa za Maisha Bora kwa kila mtanzania hawa jamaa ndani ya Miaka 10 wameikwamisha kwa miaka 20 ijayo na mkiwapa nafasi tena itakuwa ni miaka 40 mingine.

Habari yenyewe ndiyo kama hivi;

[h=3]Deni la Taifa sasa ni janga la Taifa - Kolamu - mwananchi ...[/h]Jun 8, 2014
Bunge liliambiwa juzi kwamba Deni la Taifa limeongezeka kwa Sh8.2 trilioni kwa kipindi cha miezi saba tu. Hadi Juni mwaka jana deni hilo lilikuwa Sh21.2 trilioni na hadi Januari mwaka huu, deni hilo lilipaa hadi Sh29.4 trilioni, huku sehemu ya fedha hizo zikikopwa kwa ajili ya kuendesha semina, warsha, safari, mafunzo na matengenezo ya magari. Kwa maana hiyo, kila Mtanzania sasa anadaiwa Sh600,000.
 
Breaking News!!!!!

Ajira za ualimu Tanzania zimetoka rasmi leo tarehe 25 /04/2015. Waalimu wote wanapaswa kuripoti katika Vituo vyao vya kazi kuanzia tarehe 01/05/2015 hadi tarehe 09/05 /2015. Mwalimu yoyote atakayeshindwa kuripoti ndani ya mda atakuwa amepoteza ajira yake!!

Source: TOVUTI OWM - TAMISEMI.

Copied & pasted

Kwanini usipigwe ban?
 
Mp kalix2 umeongea kitu kizuri sn,tunaangamia kwa sababu ya kuyachukulia mambo poa then wakwanza kulalamika.Kijana hamasisha wenzako jiandikisheni na kapigeni kura chagueni watu wengine na c ccm kwa ngazi yoyote ile ya uongozi.Yani neno ccm liwe ni sumu na kumbukumbu ya mateso kwako ktk maisha.

"SEMA HAPANA KWA CCM OCTOBER,2015.MWAMBIE NA MWENZAKO"
 
Back
Top Bottom