Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambo la kuliweka kichwani ni, huko mtakapoenda nendeni mkawaambie watoto ukweli wa maisha ya mfumo wa ki-ccm.Tengenezeni kizazi cha kuikataa ccm daima kwani inawaumiza wengi sn kwa utaratibu hu.Hebu fikiria kama ungekuwa ndo umesoma kada nyingine ungefanyaje? kama uwalimu tu ni hivi? Je,wengine huwa wanaumia kwa kiwango gani wakati wanapojua ajira ktk maofisi zipo ila zimekaliwa na wenyewe?TAFAKARINI SANA.Hata zitakapotoka hizo ajira msiridhike,piganeni INDERECT kuitoa CCM kwa namna yoyote ile kwani ndo iliyowafikisha hapa.Ajira zipo ila subirini.
"SEMA HAPANA KWA CCM HAPO OCTOBER,2015.MWAMBIE NA MWENZAKO"