Orodha ya majina ya walimu wapya 2014/15

Orodha ya majina ya walimu wapya 2014/15

tulieni muda ukifika yatatoka,alietoa kauli pia ni binadamu kama leo ni weekend wakati anatoa kauli hakujua tar25 ni lini..?,wewe mwalimu unawaza hivi na umeahidiwa ajira je aliesoma sheria,uhasibu,masoko anahari gani na ulimaliza nae chuo mwaka mmoja, ambae hajui lini atapata hata hiyo laki nne na nusu,Pia wale lelemama wawe tayari kutoa pesa ili wa hamishwe vituo,...Nawatakia kila la kheri huko muendako kama ni Kazula mimba,Ulindi wa noni,Mpuwi,Chala,Maji moto au Katumba mkapige kazi msilete njonjo mkakimbia vituo vya kazi maana wengi wenu enzi mko chuo mlikuwa mnamaisha ya kuangalia Series,Kwenda club,unywaji wa pombe wengine ma deej wa hostel na kila mtu aliishi maisha mazuri kama wote mmetoka familia moja,wengi wenu mlijitambulisha kuwa mnatoka DAREESSALAAM na ARUSHA utafikiri sehemu zingine watu hawaishi,kajifunzeni kuishi vizuri na NZENGO huko hakuna mate..............................KILA LA KHERI WALIMU.............Ni usia wangu mdogo tu...(MWALIMU NDIO MKOMBOZI WA TAIFA)
 
Jambo la kuliweka kichwani ni, huko mtakapoenda nendeni mkawaambie watoto ukweli wa maisha ya mfumo wa ki-ccm.Tengenezeni kizazi cha kuikataa ccm daima kwani inawaumiza wengi sn kwa utaratibu hu.Hebu fikiria kama ungekuwa ndo umesoma kada nyingine ungefanyaje? kama uwalimu tu ni hivi? Je,wengine huwa wanaumia kwa kiwango gani wakati wanapojua ajira ktk maofisi zipo ila zimekaliwa na wenyewe?TAFAKARINI SANA.Hata zitakapotoka hizo ajira msiridhike,piganeni INDERECT kuitoa CCM kwa namna yoyote ile kwani ndo iliyowafikisha hapa.Ajira zipo ila subirini.

"SEMA HAPANA KWA CCM HAPO OCTOBER,2015.MWAMBIE NA MWENZAKO"

Nimeamini mtaani s mchezo. pamoja na adha tunazopata waalimu. kelele tunazopiga dhidi ya serikali juu ya maslahi ya waalimu bado vijana mnakimbilia ualimu kama mkombozi wa maisha?
Jifunzeni kitu kutokana na hilo.Maisha si lelemama.
 
Mizengo pinda uko wapi? Njoo uwapige tu hawa. Wanalaumu serikali sikivu.
 
Back
Top Bottom