Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Asante sana muungwana.Nashukuru sana kwa kunisahihisha mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana muungwana.Nashukuru sana kwa kunisahihisha mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Lipo, ni wee ndo huna access ya kuwepo.kulee.Lilichomwa moto pamoja na members wake. Iliniuma sana
Muambie huyoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona lipo!?
Anakwama sana.Muambie huyoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂 Mmmh hata nikilala nchale jeUkiinama nchale ukiinuka nchale😂
Munawazaga mambo ya hovyo sana nyie watu daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipi hichoooo?
Tupo pamoja mkuu✍️✍️✍️💯
Alipanga kuja ila kwa kuwa nipo karibu nae acha nimpitie hapo chap mkuuUnaenda kumtembelea geto?
Alafu ukiambiwa ukweli unasema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Lipo, ni wee ndo huna access ya kuwepo.kulee.
Lipo na tunatamba naloo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naogopaaaa!!Alafu ukiambiwa ukweli unasema
"" We huogopi""
Kama unaogopa kaa mbali na hizo dhambi zenyu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naogopaaaa!!
Nitafsirie hayo maneno ya Dr ili nami nipate kuambulia chochote tafadhaliNdio mkuu
Bado hujasemaSawa sawa mkuu wangu...
Sema mahusiano bana kuna mda...
Au basi
Hahaha.........nyie ndiyo mlifanya Wazee tuanze kusema "Uzee mwisho Chalinze" 😜🙌Enzi tena?There is no fixed time for breastfeeding!
Ahahahaha ujinga ujinga tuuBado hujasema
Ila mkuu kila siku nakushusha nyota ujue ahahahaHahaha.........nyie ndiyo mlifanya Wazee tuanze kusema "Uzee mwisho Chalinze" 😜🙌
Ili tuendelee kula mema ya Nchi 🤗