Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
-
- #61
Safi mkuu..Jf garage
Matangazo
Habari na hoja mchanganyiko
Intelligence
NEW POSTS
Nafurahi mkuu kuona uwepo wako hapa
Hapana mkuu ndo mana nikasema kwa vijana... Unajua kilimo banaaaa au basiMkuu unapata wapi ujasiri wa ku ignore jukwaa la kilimo au sisi wazee umetuchukuliaje.
Sawa sawa hii kwa wale waliojipata sana sanaJukwaa la kilimo na ufugaji...
π€£π€£π€£πEnzi tena?There is no fixed time for breastfeeding!
Dr kwa kiswahili fasaha sijui mkuuNitafsirie hayo maneno ya Dr ili nami nipate kuambulia chochote tafadhali
Hahaha..............hiyo comment atakuwa aliandika lastborn wangu sio Mimi πIla mkuu kila siku nakushusha nyota ujue ahahaha
Ahahaha mkuu nakutegemea wewe ujueHahaha..............hiyo comment atakuwa aliandika lastborn wangu sio Mimi π
Nami sitakuangushaAhahaha mkuu nakutegemea wewe ujue