kalagutuka
Member
- Jun 10, 2025
- 10
- 3
Kama wewe ni mtumiaji wa online business naomba tuambia kampuni gani umeitumia kuagiza bidhaa zako online.
Kuna story nyingi mtaani kuhusu kutapeliwa mtandaoni bahati mbaya kila nikiongea na watu waliotapeliwa wanasema tumetapeliwa mtandaoni bila kutaja majina ya mtando upi wala majina ya kampuni tukayajua badala kuaminishwa jumla jumla kwamba biashara ya online ni utapeli.
Weka jina la kampuni zinazofanya vizuri kwenye biashara za mtandao tuzijue.