Orodha ya makampuni legit yanayota huduma za online business

kalagutuka

Member
Joined
Jun 10, 2025
Posts
10
Reaction score
3
Kama wewe ni mtumiaji wa online business naomba tuambia kampuni gani umeitumia kuagiza bidhaa zako online.

Kuna story nyingi mtaani kuhusu kutapeliwa mtandaoni bahati mbaya kila nikiongea na watu waliotapeliwa wanasema tumetapeliwa mtandaoni bila kutaja majina ya mtando upi wala majina ya kampuni tukayajua badala kuaminishwa jumla jumla kwamba biashara ya online ni utapeli.

Weka jina la kampuni zinazofanya vizuri kwenye biashara za mtandao tuzijue.
 
Na hata zinazotapeli ila kuwe na udhibitisho,siyo kuchafuana.
 
Ya nje au ya ndani?

Ila pia kuna hawa wanajiita AGIZA CHINA.washatapeli sana eatu,washawaletea sana watu maronya hasa wanawake.
Yani ktk Agiza china kwenye 10 labda mmoja,wengine vilio
 
Ya nje au ya ndani?

Ila pia kuna hawa wanajiita AGIZA CHINA.washatapeli sana eatu,washawaletea sana watu maronya hasa wanawake.
Yani ktk Agiza china kwenye 10 labda mmoja,wengine vilio
Wanatumia planform gani?
 
Na hata zinazotapeli ila kuwe na udhibitisho,siyo kuchafuana.
Kweli kwasabu kuna makambupuni yanafanya vizuri tunatakiwa kuyajua pia kuna baadhi yanachafua pia tuyajue.
 
Wabongo kampuni legit wanazikataa kuzitumia, kuna e-commerce nyingi sana mzuri kwa biashara za online watu wanafungua wanakosa wateja wanazifunga,

Ukisikia lawama utafikiri mtu katapeliwa e-commerce kumbe kajichanga kwenye ma Forex,watu wengi wanakimbilia michongo fake kuliko michongo genuine.
 
umeona eeh.
 
Sisi tuna facilitate online business " Sell and buy" pamoja na huduma mbalimbali kama:
  • Minada ya online ndani na nje ya nchi.
  • Kusafirisha Magari kutoka Africa Kusini kwenda nchi mbalimbali.
  • Magari na Spare za used Japan.
  • Matangazo ya biashara.
  • Vifaa vya uvuvi.

Ukijisajili kwenye website yetu utakutana na wauzaji wa bidhaa mbalimbali wakiwa mikoa mbalimbali mataifa tofauti pia unaweza kuandi uzi wako mwenyewe ukataja bidhaa zako na bajeti yako watu wakaingia mtaani wakakuletea mzigo wako mkamalizana kupitia kwenye platform sio nje ya hapo.

Kama unahitaji kitu chochote nfano kuna watu wanaagiza vitu kama spare parts za Magari South Africa baada ya kuzitafuta na kuzikosa madukani au vifaa vya ujasirimali na mitambo ya kufanyia kazi za kikandalasi,vyombo vya mziko nk


MAWASILIANO.
Digxam Trades Tanzania.
Box 1234 Dar Es Salaam.
Iringa na Lindi Ilala .
Simu piga +255712 708245
Whatspp +818020717421
Site www.digxam.site
E-mail info@digxam.site
 
Aliexpress, alibaba, kikuu kitambo na temu juzi juzi, ebay pia.
 
  1. Digxam Trades
  2. Aliexpress,
  3. Alibaba,
  4. Kikuu
  5. Ebay
Tuna makampuni matano Legit twendele kutaja,pia taja naya kitepeli yote tuyajue kupita uzi huu.Kuwa makini usiteje kampuni negative kama huna ushahidi.
 
Wengi wanaofanya hii michezo wanatumia majina yao binafsi sio kampunin hawa watu wako wengi kwenye mitanda ya kijamii.

Wanchukua picha sehemu kisha wanaweka nusu bei, wanalipia hadi matangazo sponsored tangazo lina viler baada ya muda lazima usikie milio mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…