Orodha ya Mashujaa waliovuliwa hadhi ya ubalozi wakitetea maslahi ya Tanganyika

Orodha ya Mashujaa waliovuliwa hadhi ya ubalozi wakitetea maslahi ya Tanganyika

1. Dk Wilbroad Slaa
2. Humphrey Polepole
3. Marehemu Kasanga Tumbo
4. Marehemu Kasela Bantu.

5.....
Wengine nikikumbuka nitawataja. Hawa wote walivuliwa kwa kutetea maslahi ya umma wa Tanganyika.
Hawana maarifa,tatizo halikimbiwi,akllili ni Mali.Njaa inawasumbuwa
 
1. Dk Wilbroad Slaa
2. Humphrey Polepole
3. Marehemu Kasanga Tumbo
4. Marehemu Kasela Bantu.

5.....
Wengine nikikumbuka nitawataja. Hawa wote walivuliwa kwa kutetea maslahi ya umma wa Tanganyika.
Costa Mahalu
 
Hawana maarifa,tatizo halikimbiwi,akllili ni Mali.Njaa inawasumbuwa
Kwa profile ya wahusika ambao wengine wame serve before hata establishment ya taasis maarufu nchi hii have some respect

Hakimbii tatizo but hawawezi wakawa part ya tatizo, vitendo vyao ni kupiga mbiu kuwa kuna tatizo kubwa na linafbiwa macho
 
1. Dk Wilbroad Slaa
2. Humphrey Polepole
3. Marehemu Kasanga Tumbo
4. Marehemu Kasela Bantu.

5.....
Wengine nikikumbuka nitawataja. Hawa wote walivuliwa kwa kutetea maslahi ya umma wa Tanganyika.
Tunakoelekea na kwa jinsi nafasi tunazokabidhiwa zinavotumika vibaya, ninaona mbeleni kuna Mtu atakuja kuvuliwa hadhi ya Urais, kama la kumvua mtu ubalozi, what not for the presidency, and one is heading to loose that status one out of power, who kills by sword shall be killed by sword !
 
Back
Top Bottom