Orodha ya mastaa wa JamiiForums ambao wakipost ni hatari kwa likes na kuchangiwa hoja zao

Inategemea na kismart chako..

Wapo wanopost mambo ya maana wanapewa likes za kufa mtu... Na wengine hawapati likes

Wapo wanaopost upupu wanakula likes za maana na makoments kibao na wengine upupu wanatukanwa mpaka wanajutraa na koments hazizidi kumi

Wengine intermediate....inategemea na thread yako ya siku hio

Cc Smart911
 
hahaaa...wanatukanwa ..koment hazizidi ngapi ??
 
Hahahahaha Ukitaka kujua mtu ni star humu kuwe na scandal bana.... Watafufuka hadi member waliokufa

Cc Smart911
oooooohhhh mambo ya kina bi tukinao haya...hahaa watu walijazana Humu kama mtaa wa Kongo...usinikumbushe ule Uzi wa mahondaw na smart wa Dodoma kumbe huwa mnaishi Dodoma yaani ulitaka kujiua kiss penzi la Mr smart ...?daahhh JF ina mambo acha tu
 
Kuna nyuzi humu zinaanzishwa zinageuka genge la story na siyo kuchangia mada.
Uzi una 1, 2k lakini ukifungua hamna cha maana yaani mtoa mada mwenyewe unakuta robotatu ya comment ni zake.
Jeiefu noma
 
hahaha huu ni ukweli kabsa
 
Back
Top Bottom