Ila wamatumbi tunaongoza kwa like na posting katika social media swala la mtonyo na mtu mweusi ni maji na moto. Mweusi yake maradhi, vita, roho mbaya, nongwa, chuki, husda, uchawi, kuuza mkaa, kuharibu mazingira, hila, udikteta na kuiba kura.
Hapa kiukweli hata mzee Mengi kwa msuli sana kajipandisha mwenyewe na akitoka sub hakuna hii mtu anaingia madarakani kuuapa matajiri watakuwa mashetani na imelenga wamatumbi wenzie matokeo yake forbs bongo iko colored.
Namaanisha mabaraza yenu na bunge ifikirie kupandisha na wamatumbi pia Nigeria imeweza hapa reli nje, bwawa misri, vibarua huyu baba anawapa wajeda tegemea wakipangwa hata 1000 ukimuona mmatumbi jua anamiliki FM radio. Kuhamasisha wenzie wacheze vigodoro, fiesta na kucheza kamari.