Usisahau machandrama, hilo lichama lina wachaga ambao Mola kawapa kipaji cha kufanya biashara, lakini kuna ma crazy psychopath ambao wameamua kuingia kwenye siasa, changamoto inakuja kwa kuendesha chama kama saccos, anakiibia chama mpaka chadrama kimebaki uchi wa mnyama walahi
Duniani kila mtu anakipaji chake na WACHAGA NI BIASHARA TU WALAHI
SIASA INA WENYEWE WALAHI

Yeah upo sahihi, maana orodha zipo nyingi pia.Sema ni vile mimi sijulikani na sitaki kujionyesha huenda na mimi ningewekwa huko kwenye hiyo orodha
Hapo tu, mweusi mmoja tu, nchi ya watu weusi matajiri kama siyo wahindi waarabu, jiulize kwanini?!😡😡😡Hao ni watanzania kweli? Au sion vizur
VIPI KUHUSU NYIE MLIOMTEKA ILI AWAPE MAGUNIA YA KUWEKEA KOROSHO, MNAJISIKIAJE KUONA PAMOJA NA KUMDHULUMU MAGUNIA YAKE LAKINI BADO ANASHIKA NAMBA YA KWANZAPinga pinga wa ufipa watakuja kupinga
UMESAHAU SERIKALI YA MKAPA (WAZIRI MASILINGI) NA YA JK (WAZIRI MUHONGO) WALIVYOKUWA WANAMBANIA MENGI KWENYE UWEKEZAJI WA MAHOTELI NA GAS. HADI WAKASIMAMISHA UJENZI WA HOSPITAL YA MOYO ILIYOKUWA INAJENGWA KWA UBIA WA MENGI NA WAHINDIRangi nyeusi tujifunze ku focus kwenye kutafuta pesa walahi
Ila wamatumbi tunaongoza kwa like na posting katika social media swala la mtonyo na mtu mweusi ni maji na moto. Mweusi yake maradhi, vita, roho mbaya, nongwa, chuki, husda, uchawi, kuuza mkaa, kuharibu mazingira, hila, udikteta na kuiba kura.
Hapa kiukweli hata mzee Mengi kwa msuli sana kajipandisha mwenyewe na akitoka sub hakuna hii mtu anaingia madarakani kuuapa matajiri watakuwa mashetani na imelenga wamatumbi wenzie matokeo yake forbs bongo iko colored.
Namaanisha mabaraza yenu na bunge ifikirie kupandisha na wamatumbi pia Nigeria imeweza hapa reli nje, bwawa misri, vibarua huyu baba anawapa wajeda tegemea wakipangwa hata 1000 ukimuona mmatumbi jua anamiliki FM radio. Kuhamasisha wenzie wacheze vigodoro, fiesta na kucheza kamari.