Orodha ya matajiri 2021

Orodha ya matajiri 2021

Yule mdaiwa pale simba 20b atateremka vibaya sana tunasubiri kwa hamu hiyo fedha na tunasubiri tukabidhibiwe Mo Arena ambao hata mafaili ya mali ya simba haipo
 
Bakhressa na Mo nani?
Siyo vizuri kumlinganisha Bakhresa na huyo mhujumu uchumi aliye tudhulumu blioni 20 zetu pale Msimbazi. Bakhresa siyo mtu wa kupenda kujionesha na kujitutumua kama Mwamedi.

Ila naamini kwa utajiri na uwekezaji wake, na angeamua kujipambanua kama hao wengine, basi hata 10 bora angekuwepo.
 
Utopolo hamkoseni kila uzi unaomhusu Mo. Eti bilioni sh zetuuu. Unabana pua kabisa
 
Back
Top Bottom