Orodha ya matajiri JF

Orodha ya matajiri JF

GREAT VISIONAIRE

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
365
Reaction score
452
Nimefurahi kuona zoezi la Miss JF Chitchat kumalizika na mshindi kutangazwa, hongera miss chitchat 2012/'13 madame kwa ushindi, nasi ktk jukwaa la biashara ni vema tukapata list ya wajasiriamali wenye mafanikio katika JF.

Tukianzia na Mr. Maxence Melo na mwenzake, nia si kushindanisha bali ni kujifunza namna walivyoanza na vikwazo walivyokumbana navyo na kuna vitu gani ambavyo hawatavisahau ktk maisha yao, income ktk biashara zao per year (tafadhali msiweke profit kwa kampuni ambayo si public), na je kama mtaji wake ni zaidi ya millioni mia mbili kwa nini asijiunge na Dar stock exchange ili wawekezaji tumuwezeshe na aongeze mtaji zaidi? etc,

Nakaribisha maoni kwa wana JF namna ya kuwapata hawa watu humu jamvini na tutaweza washawishi vipi waweze kutupa support?
 
Kwamjibu wa biashara za tz, vp umepata baraka za Mello kumtumia kama mfano/hoja kuu?
 
Wanaochora katuni za wakuu wa nchi hawaombi ruhusa bali hupeleka ujumbe
 
1:maxence mello and mike mushi- owners and founders of JF
2;manuu-.....
3;?
4:?
5:?
 
Its hard kupata list hiyo wa wajisiliamali hapa JF kwani kila mtu anatumie I'd
Naamini wapo kina kusaga, Rostam, riziwani na hata mzee wa farasi

Pili zoezi la kuongeza mitaji wa jf kuna siku nilitoa wazo watu wakaniona sina akili
 
Niweke na mimi ninamiliki Real Estate Agency ambayo ina Mashamba na Viwanja vya kupima kama 20 hivi.
 
uzi mzuri umeharibiwa na wenye akili ndogo

So sad indeed. Wazo la mwanzisha Uzi lilikuwa Zuri kbs.

Sioni tatizo kutumia Id kwani mbona watu wanatoa testimonials zao kwa Id na still zinasaidia sana? Ushauri, ukiwa na issue yako tofauti ni vizuri ukaanzisha thread yako kuliko kuitwist thread ya mwingine.
 
msinisahau niwekeni wa3 japo nami niambulie hapo wakuu wa shindano hili
 
Bila Billionaire Le Mutuz huu uzi sio kitu
 
Baada ya hii itakuja list ya masikini,mashoga,matapeli mwisho matabaka!
 
Back
Top Bottom