Orodha ya matajiri kumi Tanzania

mwananchi wa pemba

Senior Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
129
Reaction score
80
Cjui kama ni kweli au ....nimeitoa huko kwenye mitandao....

Top 10 ya matajiri bongo
1.saidi bakhresa-trilion 1
2.Gulam Dewji-billion 900
3.Rostam Aziz-billion 672
4.Reginald Mengi-billion 450
5.Ali Mufukuri-billion 176
6.Mustafa Sabodo-billion 100
7.AbdulAziz Abood-billion 98
8.Michael Shirima-billion 96
9.Yussuph Manji-billion 93
10.mohamed Dewji-billion

Sasa kama ni kweli..hivi hawa wangeshindwa ku invest kwenye Gas? Hata kama hawana izo pesa ila level zao sio za ku invest kwenye kilimo cha matunda na mbogamboga kama waziri anavyo dai

NOTE: hii horodha imeweka wafanya biashara kama ingekua na wanasiasa basi ridhi 1 ( mtoto wa presdnt) angekua nafasi ya 6 pale...
 
hao kwenye red zaidi ni wazee wa tenda na mpaka waje kujisafisha na madeal ya money laundering itachukua muda kama sio maisha yao yote!
 
Kumbe general shimbo amepiga bao kubwa. Kama bakhresa ana trilion 1 na shimbo yuko nazo tatu basi jamaa yuko juu sana
 
Kama jina langu halimo kwenye hiyo list, then hiyo orodha ni feki!!!!!!!

Tiba
 

Kwani nani amekwambia wamekataliwa ku invest kwenye gas? Na kwani hao ndio walioililia serikali kwamba nao wafanyiwe mpango ili wawekeze kwenye gas?

Wanaopiga kelele kuwekeza kwenye gas hata katika orodha ya matajiri Milioni 5 wa Tanzania hawamo.
 
Mabilionea wa Arusha mbona hawapo?

Hii list imezingatia viwango vya kubadirishia fedha kwa shilingi ya Tanzania, wale mabilionea wa Arusha hadi ikitolewa listi kwa dola za Zimbabwe.
 
katika list hii kuna wabunge kama watatu na mwingine aliukosa ubunge dakika za mwisho.
Hivi kweli inakuja akilini kwa billionea kugombea ubunge Tanzania tena kwa kuhonga!?
 
Hiyo mimi siikubali kwani magodauni yailiyokuwa nmc manji aliyauza kwa nssf kwa bil 59 halafu mnasema ana 93 tu?bado dili la kuziuzia halmashauri magari na matoroli feki ya kuzoa taka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…