Orodha ya matajiri kumi Tanzania

Orodha ya matajiri kumi Tanzania

Cjui kama ni kweli au ....nimeitoa huko kwenye mitandao....

Top 10 ya matajiri bongo
1.saidi bakhresa-trilion 1
2.Gulam Dewji-billion 900
3.Rostam Aziz-billion 672
4.Reginald Mengi-billion 450
5.Ali Mufukuri-billion 176
6.Mustafa Sabodo-billion 100
7.AbdulAziz Abood-billion 98
8.Michael Shirima-billion 96
9.Yussuph Manji-billion 93
10.mohamed Dewji-billion

Sasa kama ni kweli..hivi hawa wangeshindwa ku invest kwenye Gas? Hata kama hawana izo pesa ila level zao sio za ku invest kwenye kilimo cha matunda na mbogamboga kama waziri anavyo dai

NOTE: hii horodha imeweka wafanya biashara kama ingekua na wanasiasa basi ridhi 1 ( mtoto wa presdnt) angekua nafasi ya 6 pale...
Networth si lazima imaanishe fedha zilizo benki. Unaweza kuwa worth 10 billion lakini usiwe hata na shilingi millioni 100. Mfano reginald mengi anaweza kuwa na utajiri huo lakini 90% ukawa ni thamani ya mitambo ya ITV, mitambo ya redio, infrastructure za migodi n.k ambazo zote hizo kakopa benki hivyo anaweza akawa hana hela ambayo iko tayari readily kuwekezwa .
 
Cjui kama ni kweli au ....nimeitoa huko kwenye mitandao....

Top 10 ya matajiri bongo
1.saidi bakhresa-trilion 1
2.Gulam Dewji-billion 900
3.Rostam Aziz-billion 672
4.Reginald Mengi-billion 450
5.Ali Mufukuri-billion 176
6.Mustafa Sabodo-billion 100
7.AbdulAziz Abood-billion 98
8.Michael Shirima-billion 96
9.Yussuph Manji-billion 93
10.mohamed Dewji-billion

Sasa kama ni kweli..hivi hawa wangeshindwa ku invest kwenye Gas? Hata kama hawana izo pesa ila level zao sio za ku invest kwenye kilimo cha matunda na mbogamboga kama waziri anavyo dai

NOTE: hii horodha imeweka wafanya biashara kama ingekua na wanasiasa basi ridhi 1 ( mtoto wa presdnt) angekua nafasi ya 6 pale...
Vipi idi simba?
 
Vigezo gani mmetumia kupata list ya utajiri wao
 
Kumbe general shimbo amepiga bao kubwa. Kama bakhresa ana trilion 1 na shimbo yuko nazo tatu basi jamaa yuko juu sana
Mitumishi ya Umma ya Bongo noma sana.Yaani inakuwaje Shimbo awe na mihela ya kiasi hiki na aangaliwe tu?Haya mabomu wanayopigwa kila siku waandamanaji kwa nini nguvu hiyo hiyo isitumike kuwasafisha mafisadi?You just have to at least hate this country! khaa!?
 
Cjui kama ni kweli au ....nimeitoa huko kwenye mitandao....

Top 10 ya matajiri bongo
1.saidi bakhresa-trilion 1
2.Gulam Dewji-billion 900
3.Rostam Aziz-billion 672
4.Reginald Mengi-billion 450
5.Ali Mufukuri-billion 176
6.Mustafa Sabodo-billion 100
7.AbdulAziz Abood-billion 98
8.Michael Shirima-billion 96
9.Yussuph Manji-billion 93
10.mohamed Dewji-billion

Sasa kama ni kweli..hivi hawa wangeshindwa ku invest kwenye Gas? Hata kama hawana izo pesa ila level zao sio za ku invest kwenye kilimo cha matunda na mbogamboga kama waziri anavyo dai

NOTE: hii horodha imeweka wafanya biashara kama ingekua na wanasiasa basi ridhi 1 ( mtoto wa presdnt) angekua nafasi ya 6 pale...

Aah vijisent tu kumbe
 
tULETTE ORODHA YA WALIPA KODI WAKUBWA TANZANIA.
 
Back
Top Bottom