Orodha ya matajiri kumi Tanzania

Mhhh!!! Kwa Manji hapo wametudanganya.....
 
May I you marry ...oh no!

I mean, may you marry ....shit!

Marry may you....damn it, why trembling......may you me marry you...is that it...no...aah, forget it!
Mamndenyi

Wow !! imenifurahisha ubabaikaji wako "badboy" hahahaha ! I wish you success of bng billioner!
 
Wapi Trilionea Shimbo?moyo wangu umevunjika kwa kutomwona kamanda wangu hapa...
 
Bado waislam watasema kuna mfumo kristo. Sijui jkiingia nyenye uislam
 
Wapi lowa-hasa?

Lowasa zake hazunguushi kwenye biashara za bongo; ziko ulaya zinazaliana huku zinakuja chechi chenchi zinazowapagawisha wadoea makombo chini ya meza yake ya ufisadi. Hao ndiyo wanaojinadi eti wapambe wake. Ni njaa tu inawasumbua!
 
Bongo hakuna mabilionea wanawake? Mbona kuna biashara nyingi mjini kubwa tu na tender za maana kuna wanawake wanafanya ila hawaonekani kwenye list?
 
Muhogo alikurupuka...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Riz moko hayumo bado sijaelewa kitu humu
 
last time nimecheki na Bakhresa kwenye Google ilikuwa mwezi Mei 2013 na utajiri wake ulikuwa unasomeka US$ 572 milioni akiwa tajiri wa 38 kati ya matajiri 100 wa Afrika,hao wengine sina nao uhakika:help:
 
Natumaini wakati wao wakiwa katika orodha ya matajiri kumi Tanzania mimi napambana kuwa katika orodha ya matajiri kumi duniani wakati mfukoni sina hata milioni.my dreams is to be billionaire in this world.


my dreams is to be billionaire in this world.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…