Wapi Trilionea Shimbo?moyo wangu umevunjika kwa kutomwona kamanda wangu hapa...
Networth si lazima imaanishe fedha zilizo benki. Unaweza kuwa worth 10 billion lakini usiwe hata na shilingi millioni 100. Mfano reginald mengi anaweza kuwa na utajiri huo lakini 90% ukawa ni thamani ya mitambo ya ITV, mitambo ya redio, infrastructure za migodi n.k ambazo zote hizo kakopa benki hivyo anaweza akawa hana hela ambayo iko tayari readily kuwekezwa .Cjui kama ni kweli au ....nimeitoa huko kwenye mitandao....
Top 10 ya matajiri bongo
1.saidi bakhresa-trilion 1
2.Gulam Dewji-billion 900
3.Rostam Aziz-billion 672
4.Reginald Mengi-billion 450
5.Ali Mufukuri-billion 176
6.Mustafa Sabodo-billion 100
7.AbdulAziz Abood-billion 98
8.Michael Shirima-billion 96
9.Yussuph Manji-billion 93
10.mohamed Dewji-billion
Sasa kama ni kweli..hivi hawa wangeshindwa ku invest kwenye Gas? Hata kama hawana izo pesa ila level zao sio za ku invest kwenye kilimo cha matunda na mbogamboga kama waziri anavyo dai
NOTE: hii horodha imeweka wafanya biashara kama ingekua na wanasiasa basi ridhi 1 ( mtoto wa presdnt) angekua nafasi ya 6 pale...
labda kama utakuwa kontena la kusafirishia bidhaa wanazoongoza nazo waTz kwa sasa
Vipi idi simba?Cjui kama ni kweli au ....nimeitoa huko kwenye mitandao....
Top 10 ya matajiri bongo
1.saidi bakhresa-trilion 1
2.Gulam Dewji-billion 900
3.Rostam Aziz-billion 672
4.Reginald Mengi-billion 450
5.Ali Mufukuri-billion 176
6.Mustafa Sabodo-billion 100
7.AbdulAziz Abood-billion 98
8.Michael Shirima-billion 96
9.Yussuph Manji-billion 93
10.mohamed Dewji-billion
Sasa kama ni kweli..hivi hawa wangeshindwa ku invest kwenye Gas? Hata kama hawana izo pesa ila level zao sio za ku invest kwenye kilimo cha matunda na mbogamboga kama waziri anavyo dai
NOTE: hii horodha imeweka wafanya biashara kama ingekua na wanasiasa basi ridhi 1 ( mtoto wa presdnt) angekua nafasi ya 6 pale...
Kwani za Manji na Rostam zilisafishwa lini?Mkuu fedha ya shimbo ni fedha haramu!
Mitumishi ya Umma ya Bongo noma sana.Yaani inakuwaje Shimbo awe na mihela ya kiasi hiki na aangaliwe tu?Haya mabomu wanayopigwa kila siku waandamanaji kwa nini nguvu hiyo hiyo isitumike kuwasafisha mafisadi?You just have to at least hate this country! khaa!?Kumbe general shimbo amepiga bao kubwa. Kama bakhresa ana trilion 1 na shimbo yuko nazo tatu basi jamaa yuko juu sana
Cjui kama ni kweli au ....nimeitoa huko kwenye mitandao....
Top 10 ya matajiri bongo
1.saidi bakhresa-trilion 1
2.Gulam Dewji-billion 900
3.Rostam Aziz-billion 672
4.Reginald Mengi-billion 450
5.Ali Mufukuri-billion 176
6.Mustafa Sabodo-billion 100
7.AbdulAziz Abood-billion 98
8.Michael Shirima-billion 96
9.Yussuph Manji-billion 93
10.mohamed Dewji-billion
Sasa kama ni kweli..hivi hawa wangeshindwa ku invest kwenye Gas? Hata kama hawana izo pesa ila level zao sio za ku invest kwenye kilimo cha matunda na mbogamboga kama waziri anavyo dai
NOTE: hii horodha imeweka wafanya biashara kama ingekua na wanasiasa basi ridhi 1 ( mtoto wa presdnt) angekua nafasi ya 6 pale...
wapi Lowasa?? Riz mokko yu wapi?Kumbe general shimbo amepiga bao kubwa. Kama bakhresa ana trilion 1 na shimbo yuko nazo tatu basi jamaa yuko juu sana