Orodha ya Matajiri wakubwa Afrika


Tajiri namba Ni 9 Ni mtoto wa raisi mstaafu Jose Eduardo Santos aliyestaafu 2017. Jose Eduardo Santos alikuwa raisi wa pili baada ya kufa Agostinho Neto.
 
Hongera kwake MO kwa kuiwakilisha nchi yetu vema.
 
Mosesi Katumbi mbona hayupo kwenye hiyo list?
Huenda Ni tajiri lakini sio billionaire, Labda millionaire au huenda top number ya waliotajwa hapo juu hajakidhi vigezo.. si Katumbi ya DRC Congo ambae ndie mwenye TP Mazembe?
 
Ukiangalia hapo utagundua matajiri wengi ni Waisilamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…