Orodha ya Muvi bora 2020

Orodha ya Muvi bora 2020

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Salute..
B.Obama mwanzoni mwa wiki katoa orodha yake ya Movies na Series bora alizotazama mwaa huu. Ifuatyo ni orodha ya muvi bomba nilizotazama mwaka huu 2020. Nb Kuna zingine sio za mwaka huu ila nimeziangalia mwaka huu nimezipenda sana.
✓✓Action Movies
  • Wonder woman 1984
  • Extraction
  • What Happened to Monday
  • Bloodshot
  • Birds of Prey
  • Ironman 1-3
  • Night come for Us
  • To be continued...
√√Comedy
  • You don't mess with zohan
Hii muvi hua hainichoshi nacheka sana nikiangalia na lafudhi yao ya kiarabu. Adam sandler chizi sana😀 kama hujaiona itafute
  • The Dictator
Yaani hiii na hiyo ya juu zimetofautiana kidogo wote wajinga sana hawa watu, Sacha Baron cohen hajawahi niangusha mtazame kwenye series ya S.P.Y
Nimeangalia The Hangover naona hazijanipendeza

✓✓Animation
  • Wall-E
Salute kwao Pixar studio hii muvi safi sana mwaka huu nimeutumia kukusanya animation zilizotengenezwa Pixar studio
  • Despicable me 🤣🤣 Gruuuuuuu......Druuuuuuuu
  • Kung fu panda
  • Up
  • Spy in Disguise
  • Home 😆😆😆 hua inanifurahisha sana
  • Penguin of Madagascar
  • Nezha
  • Coco
  • Finding Nemo
  • The Incredibles 2

✓✓Series
Hapa nitaiweka
  • Game of Throne S8
  • Dark
 
Kumbe wewe hujui muvi. Hiyo orodha ya kwanza nimeona mbili tu ama tatu za maana.

Birds of prey na extaction tena kama ungezipanga kwa ubora wake ingetakiwa ianze hiyo birds of prey ikifiatiwa na bloodshot kisha extraction....
 
Kumbe wewe hujui muvi. Hiyo orodha ya kwanza nimeona mbili tu ama tatu za maana.

Birds of prey na extaction tena kama ungezipanga kwa ubora wake ingetakiwa ianze hiyo birds of prey ikifiatiwa na bloodshot kisha extraction....
Wonder woman umecheki bloodshot too much computer
 

Kumbe wewe hujui muvi. Hiyo orodha ya kwanza nimeona mbili tu ama tatu za maana.

Birds of prey na extaction tena kama ungezipanga kwa ubora wake ingetakiwa ianze hiyo birds of prey ikifiatiwa na bloodshot kisha extraction....
Haha tastes tofauti mkuu,kwangu mimi Extraction ni bora kuliko Bloodshot...
 
Ebhuu ichekiiii....bonge la movie nimefunga nalo mwaka pamoja na ndugu yako JackieChan na kitu chake cha Vanguard
Ok ok ngoja mida ya wangu nitaziibukia netflix
Hafu nimesahau kuiweka Old Guard. Niliikubali
 
Game of thrones ni series kali sana,ila season 8 imeharibiwa sana,haina uzuri wa seasons za nyuma.....sijaipenda hata.
 
Inaonekana taste zako za movie zinaendana na zangu.

Extraction
What happened to Monday
Bloodshot (sijaipenda sana)
Ironman 1-3

Wonder Woman bado sijaipata
 
Muvi zote nimeziona, Ila Kuna muvi moja naitafuta niliiangalia kitambo kidogo kipindi Niko na miaka midogo,
Stori naikumbuka iko ivi dogo mmoja aligongwa na gari akaja akapewa mihela , baada ya kupata zile ela alioa na kuoa, mwishoni Yule dogo alivamiwa ,Kama mtu anaifahamu hii muvi anipe jina lake,

Saizi naangalia home alone. Part 1
 
Chache nilizoangalia mwka huu nikazipenda
White house down
Olympus has fallen
London has fallen
Angels has fallen
Ip man 4
Project power
Jason Bourne
Robin hood(by jamie foxx)
................
NB: sio zote zimeachiwa 2020
 
Back
Top Bottom