Orodha ya Muvi bora 2020

Orodha ya Muvi bora 2020

Mimi napenda historical movies na drama+comedy movies. Movies ambazo ni fiction sana zinanishinda, mfano zote za Marvel studio sizifurahii, i hope umepata picha aina ya movies ambazo napenda rafiki...
You seem Educated..!?

I love it when women go to school. It's like seeing a monkey on rollerskates. It means nothing to them, but it's so adorable for us
 
Mwaka huu haukuwa na movie kali. Nilikuwa nadubiria kwa hamu Dune itoke ila imehairishwa hadi mwakani. Ila nimezipenda. Birds of prey, love and monsters na the wolfwalkers.
 
WW84 ipo cinema kacheki
wonder woman 84 siyo movie nzuri.....
Vinci umeisifia saaaana ikabidi niidownload.......aisee sikuipenda.....hasa kipande cha yule pilot kupata second chance ya kuishi hakielewekei hakiko connected... kinapoteza connection ya movie......zaidi ya sound track za Hanz Zimmer hii movie usiirecommend kwa watu kwa nguvu nyingi....Niliona bora ningere-dowload comed yoyote ile kuliko huu utopolo......
My opinion
 
Mimi napenda historical movies na drama+comedy movies. Movies ambazo ni fiction sana zinanishinda, mfano zote za Marvel studio sizifurahii, i hope umepata picha aina ya movies ambazo napenda rafiki...
my recommendations ( Comedy +few drama kwa harakaharaka)
Jumping the bloom
Big wedding
Jim Carrey (any movie)
Hangover 2
There is something about Marry
Wedding Crusher
long ride 1&2
Next Friday
Are we there yet
Not another teen movie
Flipped
Higher learning
Boyhood
Perst of happiness
 
wonder woman 84 siyo movie nzuri.....
Vinci umeisifia saaaana ikabidi niidownload.......aisee sikuipenda.....hasa kipande cha yule pilot kupata second chance ya kuishi hakielewekei hakiko connected... kinapoteza connection ya movie......zaidi ya sound track za Hanz Zimmer hii movie usiirecommend kwa watu kwa nguvu nyingi....Niliona bora ningere-dowload comed yoyote ile kuliko huu utopolo......
My opinion
Pole sana Comey, Thanos anasema reality is often disappointing.
Mm naona iko bomba..vipi lakini soundtrack si umeona zilivyo bomba. Hafu watu wanaComplain inawezaje wonder woman kuninginia kwenye Radi??
 
Mi mwenyewe nilijutia MB zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikitika sana kuona John wick chapter 3 imetajwa na mdau mmoja tu, kwa miaka 3 mfululizo ukitaja movie 5 bora huwezi acha John wick labda upange kwa genre, anyway best series mwaka 2020 kwangu ilikuwa
1.Gangs of London
2.Peaky blinders

Ila best series of all time ni Breaking bad, kwa upande wangu
 
Pole sana Comey, Thanos anasema reality is often disappointing.
Mm naona iko bomba..vipi lakini soundtrack si umeona zilivyo bomba. Hafu watu wanaComplain inawezaje wonder woman kuninginia kwenye Radi??
Uliisifia sana nikawa na expectation za kupata kitu bora sana nimeona ni kawaida.....reality pia yaweza kuwa relevant...
 
Jumping the bloom
Big wedding
Jim Carrey (any movie)
Hangover 2
There is something about Marry
Wedding Crusher
long ride 1&2
Next Friday
Are we there yet
Not another teen movie
Flipped
Higher learning
Boyhood
Perst of happiness
Haujaenda mbali na ukweli, zingine nimeziona, zingine nitazitafuta, lakini movies za teenager huwa siangalii, endelea kurecommend nyingine nzuri ukifanikiwa kutizama katika huu huu uzi au ule mwingine, Thank you!
 
Wakuu naomba msaada namna ya kudownload latest movie kwa kutumia computer.
 
Ni mimi ndo sijaelewa or? How comes title orodha ya movies bora 2020 ila kuna movies za 2013? I thought ilitakiwa tu discuss movies zilizotoka 2020?
Anyway my best action movies of 2020.
Randomly arranged.
1. Tenet
2. Wonderwoman 1984
3. AVA
4. Mulan
5. Honest thief
6. Greenland
7. The swordsman
8. Deliver us from the Devil
9. Bird of Prey
10. The hunt
11. Old Guard
12. Greyhound
14. Badboys for Life
15. Extraction
16. Project Power
17. Bloodshot
18. Capone
19. The last thing he wanted
20. Resistance
21. Time to Hunt
22. The Gentleman
 
Ni mimi ndo sijaelewa or? How comes title orodha ya movies bora 2020 ila kuna movies za 2013? I though ilitakiwa tu discuss movies zilizotoka 2020?
Anyway my best action movies of 2020.
Randomly arranged.
1. Tenet
2. Wonderwoman 1984
3. AVA
4. Mulan
5. Honest thief
6. Greenland
7. The swordsman
8. Deliver us from the Devil
9. Bird of Prey
10. The hunt
11. Old Guard
12. Greyhound
14. Badboys for Life
15. Extraction
16. Project Power
17. Bloodshot
18. Capone
19. The last thing he wanted
20. Resistance
21. Time to Hunt
22. The Gentleman
Mzee baba Asante
 
1.Tenent
2.Tenent
3.Exraction
4. Greyhound
5. Old Guard
Now nimetoka kumuangalia Charlie Champlin ktk Easy Street pia kesho ntalazimika kurudia Rango, Grinch na Sonic hedgehog baadhi ya scenes hahaaaaaaaa
Hivi hii tenet mbona sipati HD zilizopo muonekano mbovu na sauti haina quality
 
Hivi hii tenet mbona sipati HD zilizopo muonekano mbovu na sauti haina quality
Mbona Tenet ipo ktk clean version...u Itakua site unayotumia haiko sawa or file ulilochagua halipo sawa...
jaribu 1337x then sort by size, or use or Zooqle.com.
Note. the bigger the size the better quality of the video..mi Tenet nliyodownload ni ya 76.4 Gb from zooqle( 4K Bluray & 5.1 DTS-HD audio)
 
Back
Top Bottom