Orodha ya Muvi bora 2020

Orodha ya Muvi bora 2020

Ulipomtaja Adam, I knew you know movies - i know that by default. Tamathali za semi tu kuongeza utamu wa sentensi. Anyways, Mimi 2020 nimeutumia kufuatilia muvi za huyo mshikaji, and bruh! I enjoyed every second of staying front the Tv.
Huyu jamaa hua nikimuangalia tu nacheka. Sura yake sio funny ila hua tu najikuta nacheka.. yaani U don't mess with zohan nainjoi sana ile rafudhi yake
Nataka nikusanye muvi zake zote.
Ndio alinifanya nipende animation ya Hotel Transylvania
 
Nimesikitika sana kuona John wick chapter 3 imetajwa na mdau mmoja tu, kwa miaka 3 mfululizo ukitaja movie 5 bora huwezi acha John wick labda upange kwa genre, anyway best series mwaka 2020 kwangu ilikuwa
1.Gangs of London
2.Peaky blinders

Ila best series of all time ni Breaking bad, kwa upande wangu
Peaky blinders aisee ni noumaa
 
Back
Top Bottom