Orodha ya mwisho ya Klabu Bora Africa 2023

Orodha ya mwisho ya Klabu Bora Africa 2023

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
List ya mwisho ya Vilabu Bora Afrika 2023.

Timu yako inashika nafasi ya ngapi hapa [emoji1541][emoji116].

Africa, Dunia

01 Al ahly. 06
02. Wydad. 51
03 Yanga. 63
04. Pyramids 73
05. Mamelodi 79
06. Far Rabat. 79
07. Raja Casablanca 84
08. Zamalek. 95
09. Belouzidad. 97
[emoji116][emoji116]
12. Simba SC. 131

According to IFFHS

NB: Je, chama lako namba ngapi?

1698999239049.jpg
 
1699007687003.png

Achana na Matango Pori ya Mitandaoni we Uto, Toka lini Utopolo akawa juu ya S.S.C,Mamelod, Cr Belouzidad kwenye orodha rasmi ya CAF..?

Tujadili yanayotuhusu.. ! Ujue hapo Jangwani kuna majanga hizi mvua zinazoendelea...
Sijui kama tutapona.!
 
recently yanga kuwa juu ya simba hilo ni sahihi kabisa, ila yanga kuwa top 3 huo ni urongo.... na alhy ahli kuwa top 3 duniani huo ndo utapeli kabisa.
 
Mafanikio ya ligi za ndani

Mafanikio ya kimataifa... etc
Sawadakta nami nimehisi hivyo ila akili ikanigomea USM alger ambae ametwa shirikisho na bado akamtwanga al ahly kwenye super cup japo ligi ya ndani hakufanya vizuri, ndio asiwemo hata kwenye 10 bora wakati hapo kawazidi mafanikio wengi tu, kuna watu wapo kwenyr listi hata kombe la nyumbani hawakubeba, makombe ya caf hawakugusa.
 
Back
Top Bottom