Orodha ya nchi 10 zinazoongoza kwa kuzalisha nishati ya joto ardhi duniani

Orodha ya nchi 10 zinazoongoza kwa kuzalisha nishati ya joto ardhi duniani

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Nishati ya joto ardhi ni aina ya nishati mbadala na endelevu, inayozalishwa kwa kuchukua joto kutoka kwenye miamba yenye joto chini ya ardhi.

Kutokana na Chama cha Kimataifa cha nisahati ya joto ardhi, nchi kumi zinazoongoza kwa uzalishaji wa nishati ya joto ardhi duniani ni kama ifuatavyo:

1. Marekani - 3,714 MW
2. Indonesia - 2,115 MW
3. Ufilipino - 1,954 MW
4. Uturuki - 1,650 MW
5. New Zealand - 1,021 MW
6. Mexico - 958 MW
7. Italia - 935 MW
8. Iceland - 724 MW
9. Japan - 536 MW
10. Kenya - 384 MW
 
Back
Top Bottom