Ona Sasa
Member
- Jul 2, 2009
- 65
- 11
Kadiri Nchi yetu inavyoendelea kufanya Biashara za kimataifa naonmba mwenye ufahamu anisaidie kunieleza ni wapi naweza kupata Orodha ya makampuni yanayo Import na ku Export bidhaa mbali mbali ndani na nje ya Tanzania.
Pia ni wapi naweza kupata Orodha ya bidhaa za biashara zinazosafirishwa nje na kuingizwa nchini (all categories of commodities)
Nimejaribu kuangalia website muhimu kama Tanzania Chambers of Commerce, TRA, TPA, TCCIA EPZA nk. lakini sijapata hiyo list.
Naomba tusaidiane