Orodha ya Timu zilizokuwa Kibonde kwa Tanzania ila sasa Wanatupiga kama mbwa koko

Orodha ya Timu zilizokuwa Kibonde kwa Tanzania ila sasa Wanatupiga kama mbwa koko

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
1. Madagaska
2. Gambia
3. Comoro

Saivi Kibonde wetu labda Somalia tu au nasema uongo ndugu zangu?
 
Vibonde wa Tanzania kwenye soka ni
1. Djibouti [emoji1089]
2. Eritrea [emoji1096]
3. Somalia [emoji1220]
4. Lesotho [emoji1147]
 
Back
Top Bottom