Mleta uzi hiyo uliyotaja inatosha
Mimi naona haina haja ya kuuliza.hao hao uliowataja wanatosha.
Orodha ni ndefu sana, naomba tuishie hapo hapoJaman tukumbushane tafadharrrr
Baada ya kubahatisha ngao ya hisani ni mwendo wa kubahatisha kuwafunga underdog tu. Hakuna striker hapo.
Inawakilisha wengine wote na ukichangia alivyo na mdomo mrefu habari zitawafikia wote.Yan wote tunakumbuka timu moja tu?
Rage: Mashabiki wa Simba wote ni mambumbumbu.Yanga mwenye akili ni kikwete na baba yake manara wengine wote muwapuuze boko kakaa mda mrefu hajafunga sio simba wala boko aliyesema mchezaji wao karongwa ila mayele hajafunga mechi tatu kelele kibao mchezaji anatembea anajibinua tunawasubiri kimataifa.
Ulichocomment kina akisi matokeo yako yalivyokua darasaniMeddie kagere amezifunga timu hizi duniani
1)Utopolo
2)Sevilla
3)Al ahly
4)J's Saoura
5)Nkana
6)Azam
7)As Vita
8) Utopolo again
Kwa sasa yuko wapi? Tangu avuliwe ile hirizi yake wakati ule, ndiyo basi tena!Meddie kagere amezifunga timu hizi duniani
1)Utopolo
2)Sevilla
3)Al ahly
4)J's Saoura
5)Nkana
6)Azam
7)As Vita
8) Utopolo again
Inawakilisha wengine wote na ukichangia alivyo na mdomo mrefu habari zitawafikia wote.
Ukiwa shabiki wa Yanga tu,automatic unakuwa hauna akili[emoji23]
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app