Orodha ya timu zilizowahi kufungwa na Mayele hapa nchini

Orodha ya timu zilizowahi kufungwa na Mayele hapa nchini

Baada ya kubahatisha ngao ya hisani ni mwendo wa kubahatisha kuwafunga underdog tu. Hakuna striker hapo.
 
Yanga mwenye akili ni kikwete na baba yake manara wengine wote muwapuuze boko kakaa mda mrefu hajafunga sio simba wala boko aliyesema mchezaji wao karongwa ila mayele hajafunga mechi tatu kelele kibao mchezaji anatembea anajibinua tunawasubiri kimataifa.
 
Rage: Mashabiki wa Simba wote ni mambumbumbu.
 
Meddie kagere amezifunga timu hizi duniani
1)Utopolo
2)Sevilla
3)Al ahly
4)J's Saoura
5)Nkana
6)Azam
7)As Vita
8) Utopolo again
 
Meddie kagere amezifunga timu hizi duniani
1)Utopolo
2)Sevilla
3)Al ahly
4)J's Saoura
5)Nkana
6)Azam
7)As Vita
8) Utopolo again
Ulichocomment kina akisi matokeo yako yalivyokua darasani
 
Meddie kagere amezifunga timu hizi duniani
1)Utopolo
2)Sevilla
3)Al ahly
4)J's Saoura
5)Nkana
6)Azam
7)As Vita
8) Utopolo again
Kwa sasa yuko wapi? Tangu avuliwe ile hirizi yake wakati ule, ndiyo basi tena!
 
Back
Top Bottom