Orodha ya video zilizotizamwa zaidi Tanzania

Yani ile video ya juzi ya msiba haipo,hii itakuwa list itakuwa fake.
 
List nzima imetawaliwa na diamond hao wasanii wengine wanafanya mziki kweli?
 
Mond ameshashindikana, konde boy ametoa video sku ya tatu leo anahangaikia view 600k
 
Kumbe za Muziki!!

Kumbe YouTube !!

Ungemalizia Mkuu..Maana Video zinazo ongoza kutazamwa Bongo ni za Ngono ,
Akili za Wabongo zinajulikana 😀
 
Kumbe za Muziki!!

Kumbe YouTube !!

Ungemalizia Mkuu..Maana Video zinazo ongoza kutazamwa Bongo ni za Ngono ,
Akili za Wabongo zinajulikana 😀
Sio za mziki, Hapa tunzaungumzia Video kumi bora za Tz zilizoongozwa kutazamwa.

Nitaftie hata video moja tu iwe ya ngono au yoyote ya Bongo iliyofika views milioni 30!!
 
Reactions: prs
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…