Orodha ya video zilizotizamwa zaidi Tanzania

Orodha ya video zilizotizamwa zaidi Tanzania

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
HIZI NI VIDEO KUMI ZILIZOTIZAMWA ZAIDI KWA UJUMLA KUANZIA KWENYE MZIKI, SIASA, UDAKU, MICHEZO, FILAMU, N.K

Siongei sana, data hizi hapa

1
1.jpg


2
2.jpg


3
3.jpg


4
4.jpg


5
5.jpg


6
6.jpg


7
7.jpg


8
8.jpg


9
9.jpg


10
10.jpg
 
Yani ile video ya juzi ya msiba haipo,hii itakuwa list itakuwa fake.
 
List nzima imetawaliwa na diamond hao wasanii wengine wanafanya mziki kweli?
 
Mond ameshashindikana, konde boy ametoa video sku ya tatu leo anahangaikia view 600k
 
Kumbe za Muziki!!

Kumbe YouTube !!

Ungemalizia Mkuu..Maana Video zinazo ongoza kutazamwa Bongo ni za Ngono ,
Akili za Wabongo zinajulikana 😀
 
Kumbe za Muziki!!

Kumbe YouTube !!

Ungemalizia Mkuu..Maana Video zinazo ongoza kutazamwa Bongo ni za Ngono ,
Akili za Wabongo zinajulikana 😀
Sio za mziki, Hapa tunzaungumzia Video kumi bora za Tz zilizoongozwa kutazamwa.

Nitaftie hata video moja tu iwe ya ngono au yoyote ya Bongo iliyofika views milioni 30!!
 
  • Kicheko
Reactions: prs
Back
Top Bottom