Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
polepole mi hata simuelewi yupo kama mzemzee hivi mara tena kama dogo wa primary mara tena kama kijana mgonjwamgonjwa,,,,mwe
Mbona umetaja wanasiasa sasa,afu mbona sio vijana wadogoKuna watu hupata fedha baada ya muda mrefuuu tena baada ya kusota sana ... Hawa wana kahistoria fulani hivi ka kupambana na mabiashara , kilimo, ufugaji ,nk..Historia iliyojaa machungu na upambanaji wa kila namna ( siyo watu wa kazi , madawa ya kulevya ).
Kuna list ya vijana wadogo kabisa ambao wana mali na pesa chafu sana ghafla bin vuu...vijana laini laini tu walioibuka paaapu toka kusikojulikana.
Embu tuwaprodheshe vijana wadogo maarufu wenye pesa zisizoendana na umri wao na namna walivyozipata kibongo bongo!
1. Davis Mosha
2. Joseph Msukuma
3. Livingstone Lusinde
4. Mwigulu Nchemba Madelu
5. January Makamba
6. Adam Malima
7. Ezekiel Maige
Unaweza kuendelea....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli usemalo hali kama hiyo anayo katibu wao mkuu ,huwez kumwelewa zamani aliheshimika kama msomi PhD sasa hivi kawa kama comedian lakini sio comedian ,DPP lakini si DPP yaani tabu tupu.polepole mi hata simuelewi yupo kama mzemzee hivi mara tena kama dogo wa primary mara tena kama kijana mgonjwamgonjwa,,,,mwe
Huyu ana apartments Dar na Mwanza za kutisha.
Kuna watu hupata fedha baada ya muda mrefuuu tena baada ya kusota sana ... Hawa wana kahistoria fulani hivi ka kupambana na mabiashara , kilimo, ufugaji ,nk..Historia iliyojaa machungu na upambanaji wa kila namna ( siyo watu wa kazi , madawa ya kulevya ).
Kuna list ya vijana wadogo kabisa ambao wana mali na pesa chafu sana ghafla bin vuu...vijana laini laini tu walioibuka paaapu toka kusikojulikana.
Embu tuwaprodheshe vijana wadogo maarufu wenye pesa zisizoendana na umri wao na namna walivyozipata kibongo bongo!
1. Davis Mosha
2. Joseph Msukuma
3. Livingstone Lusinde
4. Mwigulu Nchemba Madelu
5. January Makamba
6. Adam Malima
7. Ezekiel Maige
Unaweza kuendelea....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani mwenye pesa hapo sasa?ukitaka kujua MTU anapesa unafiki na kunyenyekea ujinga sio sehemu ya maisha yake.Kuna watu hupata fedha baada ya muda mrefuuu tena baada ya kusota sana ... Hawa wana kahistoria fulani hivi ka kupambana na mabiashara , kilimo, ufugaji ,nk..Historia iliyojaa machungu na upambanaji wa kila namna ( siyo watu wa kazi , madawa ya kulevya ).
Kuna list ya vijana wadogo kabisa ambao wana mali na pesa chafu sana ghafla bin vuu...vijana laini laini tu walioibuka paaapu toka kusikojulikana.
Embu tuwaprodheshe vijana wadogo maarufu wenye pesa zisizoendana na umri wao na namna walivyozipata kibongo bongo!
1. Davis Mosha
2. Joseph Msukuma
3. Livingstone Lusinde
4. Mwigulu Nchemba Madelu
5. January Makamba
6. Adam Malima
7. Ezekiel Maige
Unaweza kuendelea....
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo maana bungeni amekazania Lissu.....Lissu...ili madudu yake yasiibuliweKumbe hao ni matajiri labda Mosha
Huyu msukuma ni muuza ndovu za tembo maarufu saana,kipindi cha Jk wa pili huyu alikua kisanga....wenyeji wa kanda yao wanamjua vyema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini mbunge akaishiwa pesa? Huyo Mosha ndio simjui.
Dhumuni la bandiko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe delina apartments ni za Mosha nashukuru kwa kunijuzaMosha anamiliki Sheli za Kobil, ana magari ya mafuta yameandikwa Delina zaidi ya 100, Opposite na Mlimani City kuna Ghorofa moja kubwa sana limeandikwa DELINA APARTMENTS roughly limeCost mabilioni ya fedha, anamiliki Magari ya kifahari mengi ya kutembelea kama Rolls Royce, Lamborghini Murcealago, Lummar CLRR etc. hizo ni baadhi ya mali nnazozijua
Sent using Jamii Forums mobile app