Orodha ya vijana maarufu wenye pesa bila msoto hapa Tanzania

Orodha ya vijana maarufu wenye pesa bila msoto hapa Tanzania

Tangu lini mbunge akaishiwa pesa? Huyo Mosha ndio simjui.
Dhumuni la bandiko?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni baadhi ya mali anazomiliki kijana mwenzetu! Ameni inspire xn ktk kutafuta maisha kwa juhudi
IMG_20190212_143552_095.jpeg
IMG_20190212_143607_547.jpeg
IMG_20190212_143627_994.jpeg
DSC_0099-1024x683.jpeg
images.jpeg
IMG_20190212_143647_437.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa yupo vizuri, nashangaa watu wanabeza hustling za wenzao kuna jamaa naona anamchukulia poa msukuma
kweli kabisa mkuu Jamaa ana mabasi mengi sana huko Mwanza yameandikwa KING MUSUKUMA, pia ana magreda ya kuchongea barabara nliyaona matatu lakini nahisi atakuwa nayo mengi zaidi ya hayo....kiakili mtu huyu naeza akawa anachukua ata Contract za kuchongea barabara..Something Big Deal! Vijana tuwe inspired sio kuwa na wivu ilo ndio somo muhimu kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hao ni matajiri labda Mosha

Huyu msukuma ni muuza ndovu za tembo maarufu saana,kipindi cha Jk wa pili huyu alikua kisanga....wenyeji wa kanda yao wanamjua vyema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ye amesema wenye pesa (yaan assets CURRENT ASSETS + FIXED ASSETS) hajasema vyanzo (SOURCES). Wewe umekuja na vyanzo vyao vya pesa kuwa ni haramu, kitu ambacho post haikumanisha hicho na pengine hata wewe ni HEARSAY.

Umemsafisha mmoja tu wengine ukapaka matope UNFAIR RULING.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu hupata fedha baada ya muda mrefuuu tena baada ya kusota sana. Hawa wana kahistoria fulani hivi ka kupambana na mabiashara, kilimo, ufugaji n.k. Historia iliyojaa machungu na upambanaji wa kila namna ( siyo watu wa kazi , madawa ya kulevya ).

Kuna list ya vijana wadogo kabisa ambao wana mali na pesa chafu sana ghafla bin vuu...vijana laini laini tu walioibuka paaapu toka kusikojulikana.

Embu tuwaprodheshe vijana wadogo maarufu wenye pesa zisizoendana na umri wao na namna walivyozipata kibongo bongo!

1. Davis Mosha

2. Joseph Msukuma

3. Livingstone Lusinde

4. Mwigulu Nchemba Madelu

5. January Makamba

6. Adam Malima

7. Ezekiel Maige


Unaweza kuendelea....

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wao ni CCM. Hapo umemsahau Rais ya Dar es salaam BASHITE. Yupo yule kijana wa Msoga mtoto wa JK.
 
Kumbe hao ni matajiri labda Mosha

Huyu msukuma ni muuza ndovu za tembo maarufu saana,kipindi cha Jk wa pili huyu alikua kisanga....wenyeji wa kanda yao wanamjua vyema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Msukuma sio wakumchukulia poa hata kidogo...ila kama maisha yako yote ni dar huwezi kujua matajiri wa ukanda ule..
 
Utajiri wa mtu hautizamwi kwa macho, kuna madeni pia wanayamiliki ambayo kwamwe hayawezi kuwekwa wazi, mpaka dk za mwisho zinapopigwa mnada, wengi hawakosi milioni mia 2 mia 3 za kibadilisha magari n.k...

Watu wamecheza na mifumo mpaka sasa ndio maana wananchi wa kawaida hawakopesheki na taasisi za fedha...wanakopa kisha wanaanza ku struggle kulipa madeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mosha anamiliki Sheli za Kobil, ana magari ya mafuta yameandikwa Delina zaidi ya 100, Opposite na Mlimani City kuna Ghorofa moja kubwa sana limeandikwa DELINA APARTMENTS roughly limeCost mabilioni ya fedha, anamiliki Magari ya kifahari mengi ya kutembelea kama Rolls Royce, Lamborghini Murcealago, Lummar CLRR etc. hizo ni baadhi ya mali nnazozijua

Sent using Jamii Forums mobile app
Delina apartments zipo opposite na Mlimani City?itakua umehadithiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina uhakika sana kama amepiga pesa mahali lakini msukuma namkumbuka miaka ya 2000 mwanzoni alikuwa akifanya biashara ya simu wilaya za Lushoto na Korogwe tena kipindi kile alikuwa anawakopesha watumishi wa serikali. Imagine ndio simu zilikuwa zinaingia katika maeneo hayo then unakopeshwa kwa bei kubwa. Jamaa alipiga sana hela. Alikuwa na maduka ya simu Lushoto na Korogwe yana nembo ya Celtel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom