Orodha ya vijana maarufu wenye pesa bila msoto hapa Tanzania

Jamaa yupo vizuri, nashangaa watu wanabeza hustling za wenzao kuna jamaa naona anamchukulia poa msukuma
kweli kabisa mkuu Jamaa ana mabasi mengi sana huko Mwanza yameandikwa KING MUSUKUMA, pia ana magreda ya kuchongea barabara nliyaona matatu lakini nahisi atakuwa nayo mengi zaidi ya hayo....kiakili mtu huyu naeza akawa anachukua ata Contract za kuchongea barabara..Something Big Deal! Vijana tuwe inspired sio kuwa na wivu ilo ndio somo muhimu kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hao ni matajiri labda Mosha

Huyu msukuma ni muuza ndovu za tembo maarufu saana,kipindi cha Jk wa pili huyu alikua kisanga....wenyeji wa kanda yao wanamjua vyema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ye amesema wenye pesa (yaan assets CURRENT ASSETS + FIXED ASSETS) hajasema vyanzo (SOURCES). Wewe umekuja na vyanzo vyao vya pesa kuwa ni haramu, kitu ambacho post haikumanisha hicho na pengine hata wewe ni HEARSAY.

Umemsafisha mmoja tu wengine ukapaka matope UNFAIR RULING.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wao ni CCM. Hapo umemsahau Rais ya Dar es salaam BASHITE. Yupo yule kijana wa Msoga mtoto wa JK.
 
Kumbe hao ni matajiri labda Mosha

Huyu msukuma ni muuza ndovu za tembo maarufu saana,kipindi cha Jk wa pili huyu alikua kisanga....wenyeji wa kanda yao wanamjua vyema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Msukuma sio wakumchukulia poa hata kidogo...ila kama maisha yako yote ni dar huwezi kujua matajiri wa ukanda ule..
 
Utajiri wa mtu hautizamwi kwa macho, kuna madeni pia wanayamiliki ambayo kwamwe hayawezi kuwekwa wazi, mpaka dk za mwisho zinapopigwa mnada, wengi hawakosi milioni mia 2 mia 3 za kibadilisha magari n.k...

Watu wamecheza na mifumo mpaka sasa ndio maana wananchi wa kawaida hawakopesheki na taasisi za fedha...wanakopa kisha wanaanza ku struggle kulipa madeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Delina apartments zipo opposite na Mlimani City?itakua umehadithiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina uhakika sana kama amepiga pesa mahali lakini msukuma namkumbuka miaka ya 2000 mwanzoni alikuwa akifanya biashara ya simu wilaya za Lushoto na Korogwe tena kipindi kile alikuwa anawakopesha watumishi wa serikali. Imagine ndio simu zilikuwa zinaingia katika maeneo hayo then unakopeshwa kwa bei kubwa. Jamaa alipiga sana hela. Alikuwa na maduka ya simu Lushoto na Korogwe yana nembo ya Celtel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…